Ukimfumania mwanamke Mara moja piga nyama chini

Ukimfumania mwanamke Mara moja piga nyama chini

Kwenye suala la kuridhika au kutoridhika wanaume wanaongoza kwa ulafi(hawaridhiki)
Sasa kuna wanaume walivyokuwa na akili fupi kutwa kwa wamasai na sangoma kutafuta madawa, mtamaliza wanaume nyie viumbe mbaki peke yenu.
 
Vip n nyie tukiwafumania mara ngapi ndo tuwapige chini??
99% ya sisi wanaume tunasaliti kwa tamaa za kimwili tu..

Ukweli mchungu ni nyie wanawake mnasaliti kwa kumpenda kweli yule mnaechepuka naye.. Sijui kwa sasa ikoje!

Hiyo ndio sababu ukimfumania mwanamke usimsamehe wala usiendelee kuwa naye..ukifanya hivyo ni sawa na kulea kitu kitakachokuja kukudhuru!
 
Ukweli mchungu:

Mwanamke ni MTU anayeingia mzima mzima kwenye mahabati kiasi kwamba hata iweje hawezi kuficha uhusiano wake wa mapenzi.

Mwanamke alieolewa akishapata mchepuko utajua tu. Manake ataibuka na kilo za dharau na majibu ya kuudhi sana.
Hasa pale mume anapoonekana kukosea jambo dogo sana.
Sometimes mume anaweza Dhani kua labda mke yupo yupo serious sana na maisha ya kileo. Akahisi kapata mke mwenye akili ya maisha. Kumbe mwanamke yupo katika level za kumchukia mumewe na kukosa uvumilivu baada ya kufurahia dodoki LA nje.
Ikitokea mume umemfumania mke, anaweza lia ama jitetea kua hata rudia. Ila ukweli ni kua ameshanogewa. Labda mume uhame mji. Ni lazima atarudia tu.

Kwanza msamaha kwa mwanamke huyu ni kama kufanya kosa LA jinai.

You will regret.

Atakua anajisifu jinsi anavyoweza kuku control. Na chuki yake itazidi
Cha msingi. Ukimfumania mwanamke Mara moja. Mpige chini. This is under ceteris paribus (when other things remain constant).
Uzoefu unaonyesha kua mwanamke ukimfumania Mara moja, IPO Siku utamfumania tena, na tena na tena.

No matter how hard you tried to make things better.
These are women. They never change.
Once a cheater always a cheater
 
Aah una haraka hadi unachapia
Sasa kuna wanaume walivyokuwa na akili fupi kutwa kwa wamasai na sangoma kutafuta madawa, mtamaliza wanaume nyie viumbe mbaki peke yenu.
 
Sadism is inevitable when the situation is Alarming... CC Kanali Ngemela Lubinga ha ha haa mapenzi waachie wapendanao tuu
 
Wewe jamaa unajitambua hawa watu wa jinsia ya kike hawatakusumbua hata siku moja.
...huwa nasikitika sana mwanaume anajiliza eti amesalitiwa...eti afanyeje?,....tena analalamikia mitandaoni.
.....Mungu akupe ujaasiri wa kuyatenda haya kwa vitendo....mimi huwa hata nikihisi tu ananisaliti ntampeleka kwao ili asiingilie uchunguzi wangu.
Duh!!!! Wewe ni mwanaume wa kweli.
 
99% ya sisi wanaume tunasaliti kwa tamaa za kimwili tu..

Ukweli mchungu ni nyie wanawake mnasaliti kwa kumpenda kweli yule mnaechepuka naye.. Sijui kwa sasa ikoje!

Hiyo ndio sababu ukimfumania mwanamke usimsamehe wala usiendelee kuwa naye..ukifanya hivyo ni sawa na kulea kitu kitakachokuja kukudhuru!
hujajibu swali sema mara ngapi?
 
Back
Top Bottom