Ukimfumania mwenza wako,usimsamhe

Ukimfumania mwenza wako,usimsamhe

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
3,915
Reaction score
6,272
Kwenu wanaume wenzangu,nawasihi,mkifumania wenza wenu msisamehe,hakuna kupitiwa na shetani,alidhamiria,tena kuna wakati ilichomoka,yeye ndiye akairudisha ndani
Mila unapofikiria kumsamehe basi kumbuka picha hizi
 
Attachments

  • FB_IMG_1729677924519.jpg
    FB_IMG_1729677924519.jpg
    34 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1729677944881.jpg
    FB_IMG_1729677944881.jpg
    41.3 KB · Views: 3
Kwenu wanaume wenzangu,nawasihi,mkifumania wenza wenu msisamehe,hakuna kupitiwa na shetani,alidhamiria,tena kuna wakati ilichomoka,yeye ndiye akairudisha ndani
Mila unapofikiria kumsamehe basi kumbuka picha hizi
Mwanamke anapoamua kuchiti anafanya kusudi kabisa akijua kwamba anakosea ila kasha lose control, anakuwa leashed na kidume kingine with strong feelings kama teja aliopewa pinch ya madawa.

Ili mwanamke umbomoe ni lazma ujenge strong connection nae na kumpa signals continously. Hii ni kama dopamine dosage ili afungue lango lake la hisia kwako. Hii inategemea na mtu wengine inachukua short while wengine weeks wengine miezi ila if you keep pushing them signals lazma atafunguka tu. Signs kwamba amefunguka ni kwamba ataanza kuwa mtiifu kwa kila order utakayompa na ukikata signals lazma akutafute mwenyewe akilalamika. Hapo sasa unaweza ukamswaga aje sehemu ya tukio ili umchanyate. Akishaliwa ndio anasanuka dah ashaharibu ana feel guilty at first ila akifanya mara 2/3 anaanza kuwa mzoefu hata siku atapofumaniwa atalia kinafiki tu.

Deep down anajua hawezi kumuacha aliyekuwa anachiti nae. Sana sana atabadili mbinu tu ili usijue kama anaendelea kumpa.So the best way ni kumkacha tu au kama utaendelea nae tafta chaka lingine huku ukimtumia yeye kama buffer zone.
 
Si ndo hapo,kwanza cheki hiyo picha dem anavyosikilizia,halafu ilichomoka yeye akairudisha ndani
Sawa na Hezbullah wanavyoirudisha Israel wakiichomoa. 😀😀😀

Kumbe kwenye majukwaa mengine upo mkuu. Maana nakuonaga kule unavyotukana na kujitoa ufahamu kisa vita vya muisrael na mwarabu.

Sijui kwanini vijana mmekuwa wa hovyo namna ile kwa ajili ya hiyo vita? Inasikitisha.
 
Mwanamke anapoamua kuchiti anafanya kusudi kabisa akijua kwamba anakosea ila kasha lose control, anakuwa leashed na kidume kingine with strong feelings kama teja aliopewa pinch ya madawa.

Ili mwanamke umbomoe ni lazma ujenge strong connection nae na kumpa signals continously. Hii ni kama dopamine dosage ili afungue lango lake la hisia kwako. Hii inategemea na mtu wengine inachukua short while wengine weeks wengine miezi ila if you keep pushing them signals lazma atafunguka tu. Signs kwamba amefunguka ni kwamba ataanza kuwa mtiifu kwa kila order utakayompa na ukikata signals lazma akutafute mwenyewe akilalamika. Hapo sasa unaweza ukamswaga aje sehemu ya tukio ili umchanyate. Akishaliwa ndio anasanuka dah ashaharibu ana feel guilty at first ila akifanya mara 2/3 anaanza kuwa mzoefu hata siku atapofumaniwa atalia kinafiki tu.

Deep down anajua hawezi kumuacha aliyekuwa anachiti nae. Sana sana atabadili mbinu tu ili usijue kama anaendelea kumpa.So the best way ni kumkacha tu au kama utaendelea nae tafta chaka lingine huku ukimtumia yeye kama buffer zone.
Blah blah hizi ukizoandika ila nijuavyo, umalaya ni mbaya na UKIMWI upo. Heshimuni ndoa zenu.
 
Sijamaanisha mimi mkuu ila wengi inawayumbisha sana, kuna jamaa yangu anaipitia hiyo hali kwa sasa ad namuonea huruma, shida yake alimuamin sana mwanamke wake.
😁😁😁😁😁😁 Kumuamini mwanamke ambaye sio mkeo ni jambo la kishujaa sana. Mimi nilikuwa mguu mmoja nje miaka yote hio hadi nilipooa ndio nikazima camera zangu za surveillance
 
Back
Top Bottom