Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Yeye alimuamini sana ke wake, kumsifia kila mara, kumtetea alafu ke mwenyewe tu alikua anaonekana ni mambo mengi ila ndio hivyo mwamba alikuwa hasikii wala haoni mpaka alipokuja kumfumania majuzi hata mwezi haujaisha.😁😁😁😁😁😁 Kumuamini mwanamke ambaye sio mkeo ni jambo la kishujaa sana. Mimi nilikuwa mguu mmoja nje miaka yote hio hadi nilipooa ndio nikazima camera zangu za surveillance