Ukimfumania mwenza wako,usimsamhe

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Kumuamini mwanamke ambaye sio mkeo ni jambo la kishujaa sana. Mimi nilikuwa mguu mmoja nje miaka yote hio hadi nilipooa ndio nikazima camera zangu za surveillance
Yeye alimuamini sana ke wake, kumsifia kila mara, kumtetea alafu ke mwenyewe tu alikua anaonekana ni mambo mengi ila ndio hivyo mwamba alikuwa hasikii wala haoni mpaka alipokuja kumfumania majuzi hata mwezi haujaisha.
 
Jamaa itakua mgeni na ulimwengu wa mbunye
 
Halafu shetani Ni Nguvu ya Mawazo mabaya ambayo unaรŸhindwa kuyatawala๐Ÿคฃ
Licha ya kuirudishia na Migugumio iliambatanishwa!Anyway Kila la kheri Mwenetu๐Ÿ˜ฅ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ