Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,112
Reaction score
2,400
Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?

Laini.jpg
 
Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho nj tareh 30 June, hii imekaaje? Ko tutafungiwa line leo??
Tarehe 27 na 29 Juni, 2020, nilitumiwa sms hizi.

MUHIMU
You registered more than 1 SIM card using your NIDA ID. TCRA requires you to verify the numbers you own, dial
*106# to check.
 
Nina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.
 
Ulitumia jina gani

Ilisajiliwa kwa jina la mtu mwingine enzi hizo na nilipoenda ofisini kwao wakawa wananipanga tu mara nije baada ya wiki mbili, nikajaza form lakini hamna kitu, mpaka imepotea, na nishaisajili kwenye huduma muhimu.
 
REASONS FOR ADDITIONAL NUMBERS

SABABU ZA UHITAJI WA NAMBA NYENGINE ZA ZIADA AMBAZO NI ZAIDI YA NAMBA YA SIMU YA MWANZO

SELECT A REASON
CHAGUA SABABU

1. For additional devices

KWAAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA SIMU NYENGINE.

2. To separate office and private usage.

KUTOFAUTISHA LAINI YA MATUMIZI YA KIOFISI NA MATUMIZI BINAFSI.

3. To separate business and personal usage.

KUTOFAUTISHA LAINI YA MATUMIZI YA KIBIASHARA NA MATUMIZI YANGU BINAFSI.

4. For Mobile Financial Services

KWAAJILI YA MATUMIZI YA HUDUMA ZA KIFEDHA KUPITIA SIMU.

5. Mobile Number Porting – with reasons

KWAAJILI YA MATUMIZI YA KUBAKI NA NAMBA UNAPO BADILI MTANDANO WA SIMU.

6. Increase Branches/Shops/Business

KWAAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA MATAWI/MADUKA au BIASHARA NYENGINE.

7. Increase staff/employee

KWAAJILI YA MATUMIZI YA KUONGEZA WAFANYAKAZI.

8. Test Numbers for compliance purposes

KWAAJILI YA MATUMIZI YA MAJARIBIO YA MADHUMUNI YA UFUATAJI WA UTARATIBU.

9. Test Numbers for roaming partners

KWAAJILI YA MATUMIZI YA MAJARIBIO YA HUDUMA ZA KIMATAIFA NA WASHIRIKI.
 
Waweza kuwa nazo hata now us kwanza us ofisi ya pili ya nyumbani ya tatu yako mwenyewe ya nne ya mwanao ambaye hajafikia umri wa kuwa na kitambulisho cha taifa ili asajiliwe anayesoma tuition mbali.
 
Nasikia hii sheria umechaanza kwa baadhi ya mitandao ya simu kama laini unayo kisha wasajili nyingine lazima uchague sababu moja Kati hizo hapo juu ndio usajili kwa sasa.
 
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi

Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
Wanafanya mambo ya ajabu sana!

Iengo la kusajili line lilikuwa ni pamoja na kumtambua mmiliki wa line husika.

Sasa ntu akiwa na line zaidi ya moja wao inawakera nn!?

Kwann wasisubirie mpaka ntu atende kosa kupitia line hizo halafu wamkamate!?

Na usikute mpaka sasa hawana hata uhakika wa kumkamata mtu hata kama amesajili line, ndo mana bado wanahangaika,
kigogo wa twita amesajili line au hatumii simu?
 
Wanafanya mambo ya ajabu sana!
Iengo la kusajili line lilikuwa ni pamoja na kumtambua mmiliki wa line husika.

Sasa ntu akiwa na line zaidi ya moja wao inawakera nn!?

Kwa nn wasisubirie mpaka ntu atende kosa kupitia line hizo halafu wamkamate!?

Na usikute mpaka sasa hawana hata uhakika wa kumkamata mtu hata kama amesajili line, ndo mana bado wanahangaika,
kigogo wa twita amesajili line au hatumii simu?
Kwani hata hilo kosa la kusubiriwa, mtu hawzi tenda kwenye line yake moja
 
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi

Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2

Mimi nadhani kuwa jinsi unavyozidi kuwa nazo nyingi na kuzitumia ndivyo unavyotozwa kodi nyingi zaidi na ndivyo mchango wako katika kukuza uchumi wa Taifa unavyokuwa mkubwa
 
Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho nj tareh 30 June, hii imekaaje? Ko tutafungiwa line leo??
Kuna wengine tulipo pata kazi tu, kuna line ya offisi na ingine ya personal, hiyo ya offisi ni voda na huwa inajazwa vocha kila mwezi, na voda ambyao naitumia kama personal, sidhani kama watalitilia mkazo TCRA wataharibu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.
We muongo banah, nenda kwa hawa wakala wa barabarani wanakusajilia vizuri tu, kwani hiyo line ilishapewa mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom