Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Tarehe 27 na 29 Juni, 2020, nilitumiwa sms hizi.Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho nj tareh 30 June, hii imekaaje? Ko tutafungiwa line leo??
Ulitumia jina ganiNina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.
Ulitumia jina gani
Wanafanya mambo ya ajabu sana!Nchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi
Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
Kwani hata hilo kosa la kusubiriwa, mtu hawzi tenda kwenye line yake mojaWanafanya mambo ya ajabu sana!
Iengo la kusajili line lilikuwa ni pamoja na kumtambua mmiliki wa line husika.
Sasa ntu akiwa na line zaidi ya moja wao inawakera nn!?
Kwa nn wasisubirie mpaka ntu atende kosa kupitia line hizo halafu wamkamate!?
Na usikute mpaka sasa hawana hata uhakika wa kumkamata mtu hata kama amesajili line, ndo mana bado wanahangaika,
kigogo wa twita amesajili line au hatumii simu?
Nchi hii ina upumbavu mwingi sana, hata nikiwa na laini 5 za voda tatizo lao nini? Mimi si ndo najua matumizi yake?
Mpaka sasa nina line hizi
Voda-3
Airtel - 2
Tigo-2
Ttcl-1
Halotel-2
Kuna wengine tulipo pata kazi tu, kuna line ya offisi na ingine ya personal, hiyo ya offisi ni voda na huwa inajazwa vocha kila mwezi, na voda ambyao naitumia kama personal, sidhani kama watalitilia mkazo TCRA wataharibu sana.Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho nj tareh 30 June, hii imekaaje? Ko tutafungiwa line leo??
We muongo banah, nenda kwa hawa wakala wa barabarani wanakusajilia vizuri tu, kwani hiyo line ilishapewa mtu?Nina namba yangu ya Airtel nilisajili huko porini ikawa na jina tofauti bahati mbaya nilipoteza simu nilipoenda kurenew wakaniambia jina haliendani kwahiyo laini yako haitorudishwa. Dah inaniuma hiyo laini yangu.