Ukimkuta mwanamke si bikra usimuamini hata kidogo

Ukimkuta mwanamke si bikra usimuamini hata kidogo

Salam
Pindi unapoanzisha mahusiano na mwanamke na hatimaye kufunga ndoa, mbaya ukamkuta si bikra, basi hesabia maumivu katika ndoa yako, muda wowote unaweza salitiwa.

Atakusaliti ama kwa yule aliye mtoa bikra ama kwa Yeyote yule.
Kuwa makini mwanaume usikute unaibiwa hapo ulipo. Epuka ndoa na Mwanamke wa hivyo.
Tupe dalili za mwanamke kuwa ni bikra
 
Kua na akili ww.
Utatoaje siri ya ndani ya mkeo.
Mbona unawazalilisha wenzako.
Busara gan hizo unazotumia.
Kwa anaemjua jee amnyooshee kidole [emoji117] huko majiani sio.
Kaolewa hakua mzima.
Tumien akili na busara na sio maarifa.
Mnakosea.
Alaaaaaaaaa.
Kuwa na akili wewe, mtoto usieelewa kitu, niliposema "wengine" nimemaanisha na sikujitaja mimi, bwege wewe, unanifahamu mimi, unanijua, unajuaje kama nina mke au sina, usipende kumparamia usiemjua, changia mada na sio kumparamia usiemjua, mawazo ya mtu sio uhalisia, koma kabisa
 
Kua na akili ww.
Utatoaje siri ya ndani ya mkeo.
Mbona unawazalilisha wenzako.
Busara gan hizo unazotumia.
Kwa anaemjua jee amnyooshee kidole [emoji117] huko majiani sio.
Kaolewa hakua mzima.
Tumien akili na busara na sio maarifa.
Mnakosea.
Alaaaaaaaaa.
a8b376b37b121fd8593c09d3cf09bbd0.jpg
Bado hujakomaa ndio kwanza mchanga, acha kunitafutia ban mchana mchana asee!
 
Bikira kisiwe kigezo cha kukufanya umuoe mtu, unaweza ukaoa bikira maisha yakakubadilikia upendo ukapotea na akawa anagongwa nje pia. Na unaweza ukaoa asiye bikira mkawa na upendo mkaheshimiana akawa mke bora wala asifikirie ku cheat. Uaminifu unaanzi kwenye upendo na kupitia hicho chochote kile kinaweza kutokea. Change your mindset
 
Ila kiukweli kuoa mwanamke ambaye alikuwa anamegwa Na washikaji,halafu mkaendelea kuishi mazingira yaleyale
ambayo wamegaji wa awali wapo ni risk,wanawake wengi wakikutana Na jamaa zao wa zamani wanakuwa hawana ujanja wowote.
Wanasema mahawala hawaachani
 
Uaminifu wa mwananke haupimwi na bikra...

Unaweza kumpata bikra na bado akawa anakusaliti vile vile...

Cha muhimu ni kama ameamua kutuliza akili yake...

Cc: mahondaw
Tulia ww bikra mpango mzima,we ushalishwa limbwata na huyo mahondo wako used tuliza kishundu
 
Hahahah ni kweli nimeshakuwa na wanawake wasaliti mbaya ila wengine hawakuwa wasaliti. Weakness zipo tofauti ingawa tabia ya usaliti ndio sana siku hizi.
Vipi shem amebadilika au umepiga chini tayari? Hivi nae ulimkuta bikra au,nabet hujamkuta bikra!
 
Ukimkuta ni bikra na ukamuamini umepunguza siku za kuishi
 
Bikira kisiwe kigezo cha kukufanya umuoe mtu, unaweza ukaoa bikira maisha yakakubadilikia upendo ukapotea na akawa anagongwa nje pia. Na unaweza ukaoa asiye bikira mkawa na upendo mkaheshimiana akawa mke bora wala asifikirie ku cheat. Uaminifu unaanzi kwenye upendo na kupitia hicho chochote kile kinaweza kutokea. Change your mindset
Vipi wewe uliolewa na bikra?
 
Kama mwanaume hujawahi ku -sex na ukamkuta mwanamke sio bikira achana nae kwani atakusaliti, lakini wewe umeshacheza na ukamkuta sio bikira ni size yako kwani mmekutana wezi wa aina moja . Na kama umeshacheza ukamkuta bikira tubu na mchukue ni mchumba wako na usitoke nje kamwe. Ni zawadi kutoka juu
 
Dunia ya leo ni wapi utamkuta binti ana umri wa 20+ ana bikra?!

Kwa mawazo haya nyie ndio mnaotuharibia ma'uncle zetu wa kike na kuwapa ujauzito wakiwa bado watoto hawajatimiza hata miaka kumi na mbili. Acha upuuzi
Mkuu wapo ila ni wachache sana!
Pengine unaweza usiamini lakini ingekuwa mahakamani ningeenda kutoa ushahidi wa kiapo!
Pale unapohisi dunia imeharibika kumbe kuna wema wachache ila wamefunikwa na kundi kubwa la walioharibika.
 
Back
Top Bottom