Tupe dalili za mwanamke kuwa ni bikraSalam
Pindi unapoanzisha mahusiano na mwanamke na hatimaye kufunga ndoa, mbaya ukamkuta si bikra, basi hesabia maumivu katika ndoa yako, muda wowote unaweza salitiwa.
Atakusaliti ama kwa yule aliye mtoa bikra ama kwa Yeyote yule.
Kuwa makini mwanaume usikute unaibiwa hapo ulipo. Epuka ndoa na Mwanamke wa hivyo.
Kuwa na akili wewe, mtoto usieelewa kitu, niliposema "wengine" nimemaanisha na sikujitaja mimi, bwege wewe, unanifahamu mimi, unanijua, unajuaje kama nina mke au sina, usipende kumparamia usiemjua, changia mada na sio kumparamia usiemjua, mawazo ya mtu sio uhalisia, koma kabisaKua na akili ww.
Utatoaje siri ya ndani ya mkeo.
Mbona unawazalilisha wenzako.
Busara gan hizo unazotumia.
Kwa anaemjua jee amnyooshee kidole [emoji117] huko majiani sio.
Kaolewa hakua mzima.
Tumien akili na busara na sio maarifa.
Mnakosea.
Alaaaaaaaaa.
Kua na akili ww.
Utatoaje siri ya ndani ya mkeo.
Mbona unawazalilisha wenzako.
Busara gan hizo unazotumia.
Kwa anaemjua jee amnyooshee kidole [emoji117] huko majiani sio.
Kaolewa hakua mzima.
Tumien akili na busara na sio maarifa.
Mnakosea.
Alaaaaaaaaa.
Hii si kweli mkuu.Tena sahau kupata mke bikra wakat ww ulikua kicheche na kuwafunua wake wa wenzako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu akikujibu fanya kuniita.Kwa hiyo unataka tusiamini wake zetu?
Oh oo oo!!!Jf imeingiliwa na watoto
Tulia ww bikra mpango mzima,we ushalishwa limbwata na huyo mahondo wako used tuliza kishunduUaminifu wa mwananke haupimwi na bikra...
Unaweza kumpata bikra na bado akawa anakusaliti vile vile...
Cha muhimu ni kama ameamua kutuliza akili yake...
Cc: mahondaw
Vipi shem amebadilika au umepiga chini tayari? Hivi nae ulimkuta bikra au,nabet hujamkuta bikra!Hahahah ni kweli nimeshakuwa na wanawake wasaliti mbaya ila wengine hawakuwa wasaliti. Weakness zipo tofauti ingawa tabia ya usaliti ndio sana siku hizi.
Tena nyie kina mwajuma ndalandefu ndo mnagawa kama pipi hamjuagi kukataaUkichapiwa tuliaaaa usilazimishe na wenzio watachapiwa.
Vipi wewe uliolewa na bikra?Bikira kisiwe kigezo cha kukufanya umuoe mtu, unaweza ukaoa bikira maisha yakakubadilikia upendo ukapotea na akawa anagongwa nje pia. Na unaweza ukaoa asiye bikira mkawa na upendo mkaheshimiana akawa mke bora wala asifikirie ku cheat. Uaminifu unaanzi kwenye upendo na kupitia hicho chochote kile kinaweza kutokea. Change your mindset
Mkuu wapo ila ni wachache sana!Dunia ya leo ni wapi utamkuta binti ana umri wa 20+ ana bikra?!
Kwa mawazo haya nyie ndio mnaotuharibia ma'uncle zetu wa kike na kuwapa ujauzito wakiwa bado watoto hawajatimiza hata miaka kumi na mbili. Acha upuuzi