Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli madame, lakini kuna kuteleza katika mapenzi. Mlikuwa mnapass time na mlikuwa hamna malengo ya kuoana. ni bora kulea mtoto kuliko kukosa furaha maisha yako yote kwa kuoa mke usiempenda. to me,.. MUNGU apishe mbali aiseeee.Ukioa unakuwa umetimiza ule msemo wa kuwa 'take responsibility of your action'
Dah, thats not fair SMILE,... humpi hata nafasi ya kuamua!inategemea
mimi ukinipa mimba wala hutokaa unione tena kwanza nakukana kabisa
kuamua nini? mimba isiwe sababu ya ndoa.kama ni wa kunioa atanioa tu hata kama sina kizygoteDah, thats not fair SMILE,... humpi hata nafasi ya kuamua!
Kuna madada wengi huwa wanajiimanisha kuwa,akishapewa UJAUZITO ndo tiketi ya moja kwa moja ndani Shela?Je ni lazima au unaweza lea mimba mpaka mtoto,bt anaendelea kuwa mtu wako?.
sasa mpaka umempa mimba ulikuwa huna malengo nae au?
Its complicated!!!