Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Not applicable to all
 
Kweli mkuu ushauri mzuri Mimi nina mpenzi wangu ananiomba nimuwezeshe kwenye Biashara zake, Mimi namchora tu najiuliza mara mbili nimuweze ili iweje na kwa makengo yapi na yeye ana Mambo mengi anataka kufanya na ana Jenna Nyumba na anataka kununua kiwanja, Najiuluza haya yote ana mfanyia nani,na hapo anataka nimuoe.
 
Safi sana kaza hapohapo

Nakuomba sana mkuu usitepete kwenye msimamo wako

Maana hawa viumbe wana njia nyingi sana za kuwalaghai wanaume
 
Ukitaka kumtawala mwanamke uwe nq vitu hivi AKILI,KUJUA THAMANI YAKO KAMA MWANAUME,MUHUDUMIE KULINGANA NA UWEZO WAKO,KUWA VIZURI KITANDANI,MSIMAMO NA MWISHO JIHESHIMU ( USIMCHEAT AKAJUA). Udhaifu wa wanaume unasababishwa na ukosefu wa hivyo vitu ndio maana wanakosa power kwa wanawake
Natafuta Ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…