Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Kwanini atakuacha? ni swali rahisi sana, atakuacha kwa sababu matamanio ya mwanamke yapo kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu kuanzia umri, hela, elimu, mali n.k

Mwanamke ni mbinafsi, katika mahusiano anataka apate faida kwa maana iyo akitulia na mwanaume ambae wanalingana au amemzidi maana yake uwiano wa kutoa na kupokea hautatofautiana sana, na iyo ndio biashara ambayo mwanamke hataki hata kuisikia, anataka balance sheet isome profit upande wake.

Utakapompa kipaumbele na kumuwezesha mwanamke zaidi yako ataanza kuona anafanya favor ku-date na wewe, atakuona wewe ni dhaifu kwake na ataanza kutafuta mwanaume mwingine ambae amemzidi kila kitu na kwa wakati huo mwanaume uyo sio wewe tena.

Unatakiwa kuelewa kwa mwanamke mapenzi ni biashara, nguzo ya mapenzi kwa mwanamke ni material and monetary benefits anazozipata kutoka kwako, kwaiyo kama upo chini yake maana yake hautaweza kumtimizia gharama za mahitaji yake ambayo hawezi kujitimizia yeye mwenyewe.

Kabla ya kumuwezesha mwanamke akikisha umejiwezesha wewe mwenyewe mara 10 zaidi. Ukimpa elfu 10 akikisha umebakiwa na laki moja kwa ajiri yako, ukimnunulia ist akikisha uwe unatumia range rover. Tena iyo ist usisahau kuandika jina lako kwenye kadi, akizingua unachukua gari lako.

Wanawake wa kisasa wapo kwenye msako mkali sana wa kutafuta wanaume mafala (wenyewe wanawaita gentemen) wa kuwatumia kama ngazi ya mafanikio na kuwaacha wakishatimiza lengo lao. When you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.

Wema wake wa sasa usikupumbaze inawezekana ikiwa mbinu tu kwa sababu bado hajapata anachokitaka, mpango wake aliopanga kuufanikisha kupitia wewe bado haujakamilika, when she accomplish her mission in that relationship you will learn the hard way

Ninachokufundisha hapa hautafundishwa shuleni, hautafundishwa na wazazi wala marafiki.

Learn or perish.
Not applicable to all
 
Simple fact:
Ukishamwezesha mwanamke mkawa sawa guess what's next?

She will look out for a man above her and you

Na dharau na disrespect huanzia hapo

Keep this on mind women are always opportunists

Hakikisha mke wako unamwajiri kwenye miradi yako asiwe business partner hakikisha asiwe na ile kauli ya kusema huu mradi au biashara yetu.
Kweli mkuu ushauri mzuri Mimi nina mpenzi wangu ananiomba nimuwezeshe kwenye Biashara zake, Mimi namchora tu najiuliza mara mbili nimuweze ili iweje na kwa makengo yapi na yeye ana Mambo mengi anataka kufanya na ana Jenna Nyumba na anataka kununua kiwanja, Najiuluza haya yote ana mfanyia nani,na hapo anataka nimuoe.
 
Kweli mkuu ushauri mzuri Mimi nina mpenzi wangu ananiomba nimuwezeshe kwenye Biashara zake, Mimi namchora tu najiuliza mara mbili nimuweze ili iweje na kwa makengo yapi na yeye ana Mambo mengi anataka kufanya na ana Jenna Nyumba na anataka kununua kiwanja, Najiuluza haya yote ana mfanyia nani,na hapo anataka nimuoe.
Safi sana kaza hapohapo

Nakuomba sana mkuu usitepete kwenye msimamo wako

Maana hawa viumbe wana njia nyingi sana za kuwalaghai wanaume
 
Amna mzee kupenda nao wanapenda ila shida ni wanaume wengi kua good guys(simps) ndo shida hiyo.
Wanawake wengi ni kama hawawapendi wanaume wa ndio ndio na wale wa kujali kupita kiasi japo huwa hawasemi wazi, ila in public husema wanapenda mume anaejali na bra bra kama hizo.
Wengi wanapenda kashkash.

Hujawahi kuona ama kusikia mke anapigwa kila siku na bado hatoki kwa mwamba, tena si ajabu ni mke na kaolewa na mume ndo good guy, huyo msela hana kitu zaidi ya kumdunda huyo mke wa mtu ila ndo haondoki kwa msela.
Ukitaka kumtawala mwanamke uwe nq vitu hivi AKILI,KUJUA THAMANI YAKO KAMA MWANAUME,MUHUDUMIE KULINGANA NA UWEZO WAKO,KUWA VIZURI KITANDANI,MSIMAMO NA MWISHO JIHESHIMU ( USIMCHEAT AKAJUA). Udhaifu wa wanaume unasababishwa na ukosefu wa hivyo vitu ndio maana wanakosa power kwa wanawake
Natafuta Ajira
 
Back
Top Bottom