Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

umenena vyema.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
1: Tujitahidi kuzalisha wanawake kwa kutumia mbinu zote hata kama ana njiti mshawishi hadi aitoe.
2: Tusaidane wanaume kadri
iwezekanavyo kuwatia mkenge hawa wanawake ikibidi hata ikibidi useme wewe ni mjomba wake au baba yake mdogo ili demu aingizwe kwenye nyavu.
Mengine tutaendelea kuyajadili kikao kijacho pale makutano road
 
Kikao halisi cha wanaume, I think kuna post moja tu ya Ke so far. Hii shule iendelee kuwaingia wanaume ili "a boy child" aje kuwa mwanaume halisi. Gender equality isipoangaliwa upya hakika kizazi ch wanaume duniani kinaenda kupotea.
 
Andika na wewe hoja ya kunipinga uone kama ni rahisi kuwashiwishi watu wazima kukusikiliza
Nikupinge upuuzi, wala sijihangaishi wewe na kuna Profiles ziko peculiar ikisikia kuponda wanawake utazikuta zimejaa tele.

Sijui mna trauma ama ni nini, kuanzia leo angalia wanaokujibu kny topic zako na kukusifu ni Profiles hizo hizo daily.

You share common things na wao, wote one can predict mahusiano yenu na wanawake yana mushkeli sana.

Siku hizi opportunities kwa wanawake zipo kibao.

Usipomuwezesha wewe atawezeshwa na wenzie kwenye vicoba, kama kipato cha mwanamke kikiongezeka kinaku disturb ego yako pole sana.
 
Kama nampenda,nitafanya Kila lililo katika uwezo wangu kufanya atimize ndoto zake..Kama unahisi akisoma au akiwa mahala pa juu zaidi atakuacha, means hakua wako tangu siku ya Kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…