Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 2,093
- 2,843
Napenda story za Waislam/Quran, zinanifanya nasahau shida zangu. Hawa viumbe ubongo wao ni Special sana.Ngoja tuwasubirie hawa mkuu
View attachment 3114945
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda story za Waislam/Quran, zinanifanya nasahau shida zangu. Hawa viumbe ubongo wao ni Special sana.Ngoja tuwasubirie hawa mkuu
View attachment 3114945
umenena vyema.Simple fact:
Ukishamwezesha mwanamke mkawa sawa guess what's next?
She will look out for a man above her and you
Na dharau na disrespect huanzia hapo
Keep this on mind women are always opportunists
Hakikisha mke wako unamwajiri kwenye miradi yako asiwe business partner hakikisha asiwe na ile kauli ya kusema huu mradi au biashara yetu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tuendelee kuwasanua madogo na vijana wenzetu. Kuna ongezeko kubwa sana la ma-simp huku mtaani. Hawa madogo na vijana wenzetu wakishapotezewa mwelekeo na wanawake ni sisi washkaji na mabraza wao ndio tutawajibika kuwarudisha kwenye mstari, wanawake waliowapukutisha wataingia mitini.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣bado hujasemaHuu uzi umenipiga kwenye mshono mkuu kwani nilikusimulia maisha yangu ama
Naunga mkono hoja.Mwanamke akikuambia you are not a gentleman furahi sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Somo Ndiyo Hilo
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hichi kikao sijaona pua ya kike imekatiza hapa.
Be nice to a woman at your own risk.
Daah Na watu bado wanasikilizaNgoja tuwasubirie hawa mkuu
View attachment 3114945
Jadda the feminist nyuzi kama hizi anasoma humu amekunja ndita kama anakula limao🤣🤣Mara zote naandika ukweli, ukiona.mtu ananipinga ujue andiko limempiga kwenye mshono au nimeingilia masilahi yake.
Nipo naye hapa nimeshamwambia .Kamwambie mamako kwanza
Wanakusikiliza wewe wakati I'm sure Huna mwanamke, ni sawa na wale makungwi wanaofundisha wanaoolewa wakati ndoa zao zimewashinda.Wenzako wamepita kimya kimya, naona wewe umeamua kujitoa muanga.
Nikupinge upuuzi, wala sijihangaishi wewe na kuna Profiles ziko peculiar ikisikia kuponda wanawake utazikuta zimejaa tele.Andika na wewe hoja ya kunipinga uone kama ni rahisi kuwashiwishi watu wazima kukusikiliza
Sasa kwanini mnadanga?, kwanini mnataka kuwa entitled kwenye mali za mwanaume?, si mtumie izo opportunities za vicoba.Sijui mna trauma ama ni nini..kuanzia leo angalia wanaokujibu kny topic zako na kukusifu ni Profiles hizo hizo daily....
Hoja nzuri hiiSasa kwanini mnadanga?, kwanini mnataka kuwa entitled kwenye mali za mwanaume?, si mtumie izo opportunities za vicoba.