Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

The best way for you to understand is to learn the hard way. Time will answer your question.
Sijawahi kuogopa kuachwa japo nimewahi kuachwa,labda una Personal insecurities about self-worth,pesa Huna or attractiveness..

Kwanini ufikiri mkeo atakuacha aende kwa Jamaa Richer than you,taller than you, handsome than you..msomi zaidi yako..Hujiamini???
 
Hakuna anaegopa kuachwa, tunaongea fact ili ukifika wakati wa kuachana kusiwe na upande ambao utaachwa na hasara au maumivu ya kiuchumi.

Tunayo mifano mingi ya maisha ya wanaume walipolomoka kwa sababu ya mwanamke kwaiyo hatuwezi kujidanganya kwamba hakuna tatizo.

Wewe unaweza kuona ni suala dogo ambalo unalimudu lakini circle ya wanaume haiishii kwako., even your brother and son ni jinsia ME ambao kesho na kesho kutwa wanaweza kuwa victims wa makucha ya wanawake
 
Hii ni nzito kuliko jiwe. Sababu mwanamke hakuumbiwa kutawala. Ukimfanya mtawala atalazimika kutafuta anayemtawala zaidi
 
Kwahiyo mkuu mwanamke hapaswi kua hatua 5 Zaidi yako??
 
The more reason she'll call you not a gentleman or other negative names when she can't manipulate and exploit you

Mwanamke akikuambia you are not a gentleman furahi sana
Basi acha nifurah..
Mwenzenu naambiwaga " wewe ni mwanaume katili, una roho mbaya sana , ni mbinafsi na bahili sana wewe" 🤣🤣🤣🤣.
Huu ujinga ujinga wa hawa viumbe kiukwel sio wa kuuendekeza
 
Sasa kwa wanaume wanaojitutumua kuoa mwanamke tayari ameshamzidi jamaa kila kitu inakuwaje mwenyekiti..maana kuna jamaa yangu anasema yeye haangalii anachojali upendo.
 
Basi acha nifurah..
Mwenzenu naambiwaga " wewe ni mwanaume katili, una roho mbaya sana , ni mbinafsi na bahili sana wewe" 🤣🤣🤣🤣.
Huu ujinga ujinga wa hawa viumbe kiukwel sio wa kuuendekeza
Ni heshima kubwa sana kuitwa bahili kuliko kutapanya pesa halafu badae uje kuitwa masikini.
 
Sasa kwa wanaume wanaojitutumua kuoa mwanamke tayari ameshamzidi jamaa kila kitu inakuwaje mwenyekiti..maana kuna jamaa yangu anasema yeye haangalii anachojali upendo.
Ni wanawake wachache sana wanaweza ku-maintain ile womanhood nyakati zao za mafanikio kiuchumi, kwaiyo ni risk kidogo kuoa mwanamke ambae amekuzidi kwenye ilo suala
 
Mkuu ndoa ni taasisi ambayo inalinda masilahi ya mwanamke, mwanaume usipocheza kwa step basi uyo mwanamke kukuacha salama afanye uungwana tu
Siyo kweli. Ndoa inahitaji reciprocal love, faithfulness + understanding: haya ni ya muhimu - mengine ni rahisi kuyavumilia.
 
Be nice to a woman at your own risk.
Siyo kweli at all! Only that men demand too much even what themselves are unable to give to their wives. Ndoa inahitaji kuendelea kujifunza kumpenda mwenzako Kila siku. By the way, the garbage you heap on your wife she too heaps on you - so you can choose to heap garbage on each other or live freely from heaping garbage on each other. It's your choice. My wife and I have chosen not to heap garbage on each other and we are happy about it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…