Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Kwanini atakuacha? ni swali rahisi sana, atakuacha kwa sababu matamanio ya mwanamke yapo kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu kuanzia umri, hela, elimu, mali n.k

Mwanamke ni mbinafsi, katika mahusiano anataka apate faida kwa maana iyo akitulia na mwanaume ambae wanalingana au amemzidi maana yake uwiano wa kutoa na kupokea hautatofautiana sana, na iyo ndio biashara ambayo mwanamke hataki hata kuisikia, anataka balance sheet isome profit upande wake.

Utakapompa kipaumbele na kumuwezesha mwanamke zaidi yako ataanza kuona anafanya favor ku-date na wewe, atakuona wewe ni dhaifu kwake na ataanza kutafuta mwanaume mwingine ambae amemzidi kila kitu na kwa wakati huo mwanaume uyo sio wewe tena.

Unatakiwa kuelewa kwa mwanamke mapenzi ni biashara, nguzo ya mapenzi kwa mwanamke ni material and monetary benefits anazozipata kutoka kwako, kwaiyo kama upo chini yake maana yake hautaweza kumtimizia gharama za mahitaji yake ambayo hawezi kujitimizia yeye mwenyewe.

Kabla ya kumuwezesha mwanamke akikisha umejiwezesha wewe mwenyewe mara 10 zaidi. Ukimpa elfu 10 akikisha umebakiwa na laki moja kwa ajiri yako, ukimnunulia ist akikisha uwe unatumia range rover. Tena iyo ist usisahau kuandika jina lako kwenye kadi, akizingua unachukua gari lako.

Wanawake wa kisasa wapo kwenye msako mkali sana wa kutafuta wanaume mafala (wenyewe wanawaita gentemen) wa kuwatumia kama ngazi ya mafanikio na kuwaacha wakishatimiza lengo lao. When you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.

Wema wake wa sasa usikupumbaze inawezekana ikiwa mbinu tu kwa sababu bado hajapata anachokitaka, mpango wake aliopanga kuufanikisha kupitia wewe bado haujakamilika, when she accomplish her mission in that relationship you will learn the hard way

Ninachokufundisha hapa hautafundishwa shuleni, hautafundishwa na wazazi wala marafiki.

Learn or perish.
 
Ninachokufundisha hapa hautafundishwa shuleni, hautafundishwa na wazazi wala marafiki.
Tuna shukuru kwa kutushirikisha maarifa haya, kwa kiasi chake inatusaidia sana hata kama sio moja kwa moja ika kuna namna tunapata ahueni fulani kwa kumtambua na kumjua mwanamke, tunaendela kujifunza ili tujue njia itupasayo kuifuata dhidi ya mama zetu hawa dada zetu na watoto wetu wa kike.
 
..nguzo ya mapenzi kwa mwanamke ni material and monetary benefits anazozipata kutoka kwako...
Kweli,
Kama ananufaika sana kwa fedha na mali kutoka kwako atakutii tu hata kwa mambo yatakayokushangaza..

1728034499896.png
 
Amna mzee kupenda nao wanapenda ila shida ni wanaume wengi kua good guys(simps) ndo shida hiyo.
Wanawake wengi ni kama hawawapendi wanaume wa ndio ndio na wale wa kujali kupita kiasi japo huwa hawasemi wazi, ila in public husema wanapenda mume anaejali na bra bra kama hizo.
Wengi wanapenda kashkash.

Hujawahi kuona ama kusikia mke anapigwa kila siku na bado hatoki kwa mwamba, tena si ajabu ni mke na kaolewa na mume ndo good guy, huyo msela hana kitu zaidi ya kumdunda huyo mke wa mtu ila ndo haondoki kwa msela.
 
Tuna shukuru kwa kutushirikisha maarifa haya, kwa kiasi chake inatusaidia sana hata kama sio moja kwa moja ika kuna namna tunapata ahueni fulani kwa kumtambua na kumjua mwanamke, tunaendela kujifunza ili tujue njia itupasayo kuifuata dhidi ya mama zetu hawa dada zetu na watoto wetu wa kike.
Nipo hapa ku-unlock code ili wanaume wazitoe akili nje ya matrix na kuuona ukweli halisi.. tupo pamoja.
 
Kweli,
Kama ananufaika sana kwa fedha na mali kutoka kwako atakutii hata kwa mambo yatakayokushangaza..

View attachment 3114965
Mwanamke anagundua kwamba ananyanyasika endapo kama hajalipwa bei ya hayo manyanyaso, ukilimlipa bei inayomtosheleza hatofikiria kwamba unamnyanyasa tena yeye mwenyewe ndie atakukutetea kwa hayo manyanyaso unayomfanyia
 
Amna mzee kupenda nao wanapenda ila shida ni wanaume wengi kua good guys(simps) ndo shida hiyo.
Wanawake wengi ni kama hawawapendi wanaume wa ndio ndio na wale wa kujali kupita kiasi japo huwa hawasemi wazi, ila in public husema wanapenda mume anaejali na bra bra kama hizo.
Wengi wanapenda kashkash.

Hujawahi kuona ama kusikia mke anapigwa kila siku na bado hatoki kwa mwamba, tena si ajabu ni mke na kaolewa na mume ndo good guy, huyo msela hana kitu zaidi ya kumdunda huyo mke wa mtu ila ndo haondoki kwa msela.
Absolutely... the nicer you are to a woman, then more likely she gonna fuvk you up.
 
Back
Top Bottom