Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Inategemea kama kuna maandishi yoyote mtakayoandikishiana but kwa uzoefu wangu wa hizi deal za mill5 tano huwa tunalindana kishkaji tu,sometimes 100,000/= au 120,000/= coz unaweza kutaka ganji kubwa huyu mtu usimpeleke kwa muhusika uliyemkusudia naye akakukataa hata hiyo kidogo usiipate.
Pia inasaidia kukutengenezea connection,ukiniletea deal na mimi ipo siku nitakupa kichwa ukapate sehemu nyengine so ni kusema leo utapata hela ndogo ila una uhakika wa kukutana nayo kila siku tofauti na unanikomalia kazi inaisha halafu nakukataa ila kama hiyo kazi yako siyo endelevu uuzaji wa nyumba gari etc fanyeni makubaliano maalumu.a
Sent using Jamii Forums mobile app