Ukimpa mtu dili la milioni hizi, kamisheni yako unataka iwe ngapi

Inategemea kama kuna maandishi yoyote mtakayoandikishiana but kwa uzoefu wangu wa hizi deal za mill5 tano huwa tunalindana kishkaji tu,sometimes 100,000/= au 120,000/= coz unaweza kutaka ganji kubwa huyu mtu usimpeleke kwa muhusika uliyemkusudia naye akakukataa hata hiyo kidogo usiipate.

Pia inasaidia kukutengenezea connection,ukiniletea deal na mimi ipo siku nitakupa kichwa ukapate sehemu nyengine so ni kusema leo utapata hela ndogo ila una uhakika wa kukutana nayo kila siku tofauti na unanikomalia kazi inaisha halafu nakukataa ila kama hiyo kazi yako siyo endelevu uuzaji wa nyumba gari etc fanyeni makubaliano maalumu.a

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ukipata sana labda laki 6 tena hiyo ni sana...tufanye wakate VAT 18% ya unachokitaka(ulichokiongeza kama cha juu kwenye manunuzi) baada ya hapo wakate 30% kama kodi kwa serikali (income tax)...hapk ni kihalali kabisa, na wao uwapooze kidogo
 
Hapo ukipata sana labda laki 6 tena hiyo ni sana...tufanye wakate VAT 18% ya unachokitaka(ulichokiongeza kama cha juu kwenye manunuzi) baada ya hapo wakate 30% kama kodi kwa serikali (income tax)...hapk ni kihalali kabisa, na wao uwapooze kidogo
Hakuna VAT, hakuna kodi ..
 
ni kama tenda/service/huduma
Kama hiyo tenda/service ataifanya yeye mwanzo hadi mwisho chukua asilimia 10 ya hiyo pesa.

Zaidi ya hapo inategemea uhusiano wenu ukoje kama ni marafiki anaweza akaamua kukupa asilimia 15 au 20.
 
Asilimia Kumi (10% percent) nadhani ndo nitakachotaka kama kamisheni...so hapo ni milioni moja au moja point tano.
10% ya total value ama 10% ya faida atakayopata?Muweke sawa asije fikiri kadhulumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…