THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Hii paragraph nimeipenda sanaππSi wanawake wote ni wadau wa mambo za kuwa (protected), ila kuna raha yake... ni asili.
Ukiona hajali, hajisumbui nawe, hajihusishi na mambo yako, haimhusu uko salama ama hauko salama...
Tambua tuu kuwa haupo kwenye himaya yake ya anaowapenda.
Kwani certified hater ni mwali?
Ukichunguza vizuri, kwenye hayo mahusiano yenu, mmeo anakupenda kuliko unavyompenda, mfano ikatokea mmeachana (siombei iwe hivyo) mmeo ana vingi vya kupoteza kuliko wewe NifahSisi tunapendana, hatuko kwenye uwekezaji bali mapenzi.
Iβm sorry but una mtazamo wa kitoto. Mapenzi hayako hivyo.
Hapana dadaKwani certified hater ni mwali?
Ulinichanganya!π€£Hapana dada
Ni Mwalβ¦ kifupi cha Mwalimu πππ
Ndo maana mi hapo alipoacha vidoti,nikatamani nijazie na HawuzigeliHii paragraph nimeipenda sanaππ
Mwenye kichwa kigumu ndo hataelewa
Eeh kaka punguza makasiriko!Sasa bi mkubwa, wanaozulula kama pepo mchafu,leo lodge hii kesho ile, badae kwenye gueto la njemba flani,utamuona anakatiza mitaa,anashuka mabonde na kuruka mitalo, anaendaga kutafuta ulinzi huo au?? Baba yake anakuwa anajua amezaa pepo? Ungesema hapo zamani. Kwa sasa,hapana. Kote kuliko na elfu 5 tu,haiachi,hata kama huyo mnaemuita mme wake anazo za kutosha. Wana kazi ya kukusanya vihela vidogo vidogo kama tu gari la taka mitaani
Ngoja niache kuandika kifupi ππUlinichanganya!π€£
Nashukuru Mungu Kwa kweliNgoja niache kuandika kifupi ππ
Uko poa lakini?
Hata,sijakasilika. Mi naongea tu ukweli. Una jibu la hilo sekeseke? Au mmoja tu hawezi kamilisha ulinziEeh kaka punguza makasiriko!
Kunani tenaππDaah!! Hili neno nimelishea jana tu.
Hahaa haya dada njoo uchote na hapa neno zuri kabisa.
Afu ulivyonihoji mm, umuhoji na mkuu Rabbon Carleen ππ
..Kama Baba/kaka/Mume. K zote 3 ndivyo tulivyojitahidi kufanya, tunafanya na tutafanya.. Roger Out Depal Wetu
Katika kuitembelea bibleKunani tenaππ
Kabisa wanatulinda hasa na Mungu awaweke wazid kubarikiwaUleta Uzi uko sahihi sana...Mungu awatunze walinzi wetu.