Ukimpenda Utamjali na Kumlinda

Ukimpenda Utamjali na Kumlinda

Si wanawake wote ni wadau wa mambo za kuwa (protected), ila kuna raha yake... ni asili.

Ukiona hajali, hajisumbui nawe, hajihusishi na mambo yako, haimhusu uko salama ama hauko salama...

Tambua tuu kuwa haupo kwenye himaya yake ya anaowapenda.
Hii paragraph nimeipenda sana😍😍
Mwenye kichwa kigumu ndo hataelewa
 
Sasa bi mkubwa, wanaozulula kama pepo mchafu,leo lodge hii kesho ile, badae kwenye gueto la njemba flani,utamuona anakatiza mitaa,anashuka mabonde na kuruka mitalo, anaendaga kutafuta ulinzi huo au?? Baba yake anakuwa anajua amezaa pepo? Ungesema hapo zamani. Kwa sasa,hapana. Kote kuliko na elfu 5 tu,haiachi,hata kama huyo mnaemuita mme wake anazo za kutosha. Wana kazi ya kukusanya vihela vidogo vidogo kama tu gari la taka mitaani
 
Eeh kaka punguza makasiriko!
 
Back
Top Bottom