unamjibu hapana naota kisha unakata simu na kuendelea kulalamtu anakupigia simu usiku anauliza umelala? sasa ungeongeaje?
C wewe tu uliyefadhaika ila mtu kama huyo unamuacha tu kwani hapo ndipo uelewa wake ulipoishia. Anayemtukana mwanamke pia uwa amemtukana Mama yake. Akili zetu kama Za kuku ndio maana na Mama yake Kwa akili yake hiyohiyo kama ya Wanawake wote ya kuku alimleta duniani. So mtoto wa Kuku cjui tunaweza muitaje injinia inachekesha sana.dah! hilo jibu limenifedhehesha sana. inamaana mama yako, dada yako, bibi yako, shangazi na ndugu zako wote wa jinsi ya kike wanaakili kama kuku? wape uthamani wao
ZA KWAKO KAMA ZA PANYA!AKILI ZAO KAMA ZA KUKU...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Atakuwa engineer wa masufuria na vijiko.hivi wewe ni engineer wa nini?
PAMOJA NA KUKUZAA NA KUKULEA, Mbona hawakukupa MAPUMBA NA WALIKUPA MAZIWA??AKILI ZAO KAMA ZA KUKU...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kwa wastani nyie viumbe mna ka asili ka uongo huwa najiuliza cjui huwa nikakuubwa nako au vipi?mtu anakupigia simu usiku anauliza umelala? sasa ungeongeaje?
dah! hilo jibu limenifedhehesha sana. inamaana mama yako, dada yako, bibi yako, shangazi na ndugu zako wote wa jinsi ya kike wanaakili kama kuku? wape uthamani wao
achana nae hyo jamaa hajitambui eti
Ni special case.
PAMOJA NA KUKUZAA NA KUKULEA, Mbona hawakukupa MAPUMBA NA WALIKUPA MAZIWA??
Atakuwa engineer wa masufuria na vijiko.
I wish ningekuwa moderator agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr ningekupiga ban hadi 2025AKILI ZAO KAMA ZA KUKU...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng