Ukimpigia simu msichana ukamuuliza swali hili lazima akujibu hivi.....

Ukimpigia simu msichana ukamuuliza swali hili lazima akujibu hivi.....

Mtu amekwambia ukweli ulitaka akwambie anapika ugali dagaa kitu ambacho si kweli ungemwambia akutumie picha uhakikishe
 
dah! hilo jibu limenifedhehesha sana. inamaana mama yako, dada yako, bibi yako, shangazi na ndugu zako wote wa jinsi ya kike wanaakili kama kuku? wape uthamani wao
C wewe tu uliyefadhaika ila mtu kama huyo unamuacha tu kwani hapo ndipo uelewa wake ulipoishia. Anayemtukana mwanamke pia uwa amemtukana Mama yake. Akili zetu kama Za kuku ndio maana na Mama yake Kwa akili yake hiyohiyo kama ya Wanawake wote ya kuku alimleta duniani. So mtoto wa Kuku cjui tunaweza muitaje injinia inachekesha sana.
 
mkuu ulitafiti wapi.? au manzi yako inavokujibu basi unajua wote wengine wana arage na hzo samaki ,,ata kusema tu samaki wanaweza wakaleta change
 
dah! hilo jibu limenifedhehesha sana. inamaana mama yako, dada yako, bibi yako, shangazi na ndugu zako wote wa jinsi ya kike wanaakili kama kuku? wape uthamani wao

NDIO. NYIE MNA AKILI KAMA ZA KUKU.. USHAHIDI NINAO....
KASHITAKI POPOTE BASI.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
PAMOJA NA KUKUZAA NA KUKULEA, Mbona hawakukupa MAPUMBA NA WALIKUPA MAZIWA??

CHEKI MAMA JUHHA MWINGINE HUYU...!!!!
Nimesema akili zao kama za KUKU.
Cjasema wao ni KUKU.
Mbona Lugha iko straight hapo???

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Back
Top Bottom