Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
engineer ki...l....aza hivo wa wapi?Hahaaaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
engineer ki...l....aza hivo wa wapi?Hahaaaaa!!!
Injinia wa ukoo, teh teh teeeeh!!engineer ki...l....aza hivo wa wapi?
Hapo anakusudia wasichana tu. Kama hujawah toa jibu hilo utakuw si msichanaMbona mimi sijawahi kutoa hilo jibu!!
Honestly i normally get turned-off whenever i experience that kind of conversation
mimi huwa najibu hapana naota juamtu anakupigia simu usiku anauliza umelala? sasa ungeongeaje?
ahahaaa makavu live maswali mengine sio kabisamimi huwa najibu hapana naota jua
Hapa ndo sijaelewa kabisa mkuu.Honestly i normally get turned-off whenever i experience that kind of conversation
ThubutuNdiyo maana tunaishia kuwapiga chini.
AKILI ZAO KAMA ZA KUKU...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
unamwambia niko ndotonimtu anakupigia simu usiku anauliza umelala? sasa ungeongeaje?
achana nae hyo jamaa hajitambui etidah! hilo jibu limenifedhehesha sana. inamaana mama yako, dada yako, bibi yako, shangazi na ndugu zako wote wa jinsi ya kike wanaakili kama kuku? wape uthamani wao
Ni special case.achana nae hyo jamaa hajitambui eti
Hahahhh we ni mwehumimi ndo huwa jibu langu kwa kweli kama jumapili pilkau kuku wakati hapo nipo nakula tu makande au nimeshinda njaa
Hahahh utafkili katupeleka shule yeye [emoji28]Mwanangu acha kuleta swaga za kijinga...
Uzi umeandikwa kwa KISWAHILI...
Wachangiaji tunatumia KISWAHILI...
Jiongeze basi....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
HahahhhHapa ndo sijaelewa kabisa mkuu.