Ukimpigia simu msichana ukamuuliza swali hili lazima akujibu hivi.....

Wote mmepata nendeni mkapate lunch sasa halaf mtudananye tena kuwa mmekula wali samaki.
 
Mwambie tu aseme kweli hayupo instagram[emoji3] [emoji23]
Atakujibu tu ana pika ugali wa maharage
 
CHEKI MAMA JUHHA MWINGINE HUYU...!!!!
Nimesema akili zao kama za KUKU.
Cjasema wao ni KUKU.
Mbona Lugha iko straight hapo???

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Unategemea ukiwa na akili za KUKU Utafanya vitendo vya ng'ombe?? KAMA WANAWAKE WANA AKILI ZA KUKU KUMBUKA ALOKUZAA NI MWANAMKE NA KAMA AKILI YAKE YA KUKU ANGEKUPA PUMBA BADALA YA MAZIWA.
 
Unazidi kudhihirisha kwamba wewe ni kama za KUKU....
Tuishie hapa madam asmaaThemanini
Niko busy na majukum ya office.

Na WEWE UTAKUWA NA ZA KIFARANGA CHA KUKU..Kutokana na kulelewa na KUKU JIKE
 
Unategemea ukiwa na akili za KUKU Utafanya vitendo vya ng'ombe?? KAMA WANAWAKE WANA AKILI ZA KUKU KUMBUKA ALOKUZAA NI MWANAMKE NA KAMA AKILI YAKE YA KUKU ANGEKUPA PUMBA BADALA YA MAZIWA.

achana naye. funika kombe........, hekima ya mtu hujulikana kutokana na........
 
Mmmh basi dada yangu mimi ni wakiume maana kila nikimpigia ananiambia ugali mlenda
 
Na WEWE UTAKUWA NA ZA KIFARANGA CHA KUKU..Kutokana na kulelewa na KUKU JIKE
Achana nae atakuwa na matatizo makubwa hii JF imesheheni watu kibao wa ajabu mfano kuna mmoja aliwahi kusema hata mtu akichinjwa mbele yake haogopi anapita kando, humu mpaka tuna maserial killers.
 
Back
Top Bottom