Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
- Thread starter
- #21
Mkuu Kuna demu nilitokeaga kumpenda akaniletea nyodo,akazuga kunipenda kumbe ananiigizia tu akawa anakula Mali zangu, nikapiga chini nikaendelea na maisha yangu mengine,Sasa juzi Kati dada alirudi analia eti nimsamehe anataka kurudiana nami nikwambia Wala sikutaki acha KARMA ikutafune tu 😂
Mkuu nikutakie pole sana maana aisifuye mvua imemnyea. Siku nyingine onesha ushirikiano hata kama demu humkubali usimletee jeuri ni bora umgonge umuache kuliko kumletea nyodo tu. Huenda akafarijika