Ukimpotezea anayekupenda kwa dhati ni deni lazima utakuja kulipa

Mkuu Kuna demu nilitokeaga kumpenda akaniletea nyodo,akazuga kunipenda kumbe ananiigizia tu akawa anakula Mali zangu, nikapiga chini nikaendelea na maisha yangu mengine,Sasa juzi Kati dada alirudi analia eti nimsamehe anataka kurudiana nami nikwambia Wala sikutaki acha KARMA ikutafune tu 😂
Mkuu nikutakie pole sana maana aisifuye mvua imemnyea. Siku nyingine onesha ushirikiano hata kama demu humkubali usimletee jeuri ni bora umgonge umuache kuliko kumletea nyodo tu. Huenda akafarijika
 
Eh hio ndio inatakiwa, usimuache tapeli aishi
 
Sio kweli kabisaaaa..kuna nyumba moja niliwahi kuishi miaka ya nyuma...mmoja wa wapangaji wenzangu lilikuwa ni limama limoja lilikuwa na sura nzito...basi bana siku moja likawa limelewa likaja kwangu eti linaniambia mwizukulu mgikuru sitaki ulete mwanamke yeyote hapa ..ukinihitaji kwa ajili ya sex wewe niambie tu....nikalitukana kimoyomoyo.
 
Huyo mpenzi wako aliekuacha vibaya hatokuja kujuta kwajili ya kukuacha vibaya na atapata mpenzi bora na ataishi kwa furah tu. Hayo unayoyazungumzia ni fikra tu ila ukipigwa tukio ww achika tafuta mwingne tu. Na mwisho muache kuangalia move za kihindi na kuzileta katika uhalisia
 
Sasa ananipenda alaf Mimi simpendi, what's wrong with that? Acha kutumia neno Karma kwenye sehemu zisizosahihi.

What if nimemkubalia anayenipenda, alaf akajitokeza mwingine naye ananipenda, so na yeye nimkubalie for sake of Karma?
 
Don't
Sasa ananipenda alaf Mimi simpendi, what's wrong with that? Acha kutumia neno Karma kwenye sehemu zisizosahihi.

What if nimemkubalia anayenipenda, alaf akajitokeza mwingine naye ananipenda, so na yeye nimkubalie for sake of Karma?
Don't get it twisted or rather take things out of their context bro.Kuna watu huwa wanatokea kuoendwa na wenzao alafu wait hawawapendi in return but wanazuga kwamba wanawapenda ili watimize lengo lao la kuwachuna.

In most cases wanaume ndio huwa wanafall kwenye mitego ya aina hii.Unakuta jamaa anapenda mwanamke fulani kumbe mwanamke hampendi kbsa ila anaigiza tu Ili jamaa ajue anapendwa.Mwanamke atafanya hivi ili aweze kujaliwa maslahi Yake na jamaa.

Picha linaisha jamaa ameshachunwa vya kutosha mixer kupigwa chenga nyingi na Wala hajawahi pewa mbususu hata dakika Moja.

Mwisho wa siku jamaa anabaki amesononeka Sana akikadiria hasara alizopewa na mlimbwende husika.

Sasa mkuu unataka kusema happy KARMA haitokuja kumlipizia jamaa kisasi?
 
Duh ngoja nianze kumpenda[emoji2955]
 
Labda Kwa wanandoa.

Maana Imeandikwa kabisa “ mume asimtende mkewe mambo ya hiyana”

Inamaana alom tends Kuna adhabu!

Pia Imeandikwa;

Apataye mke apata kitu chema na apata kibali machoni pa Bwana “

Inamaana amwachaye mke anapoteza kitu chema na anapoteza kibali machoni pa Bwana,

Sasa madhara ya kukatalliwa
Mungu fikirini huwa inakuwaje mtu anapokataliwa na Mungu ?

Sema sasa nazani sio ndoa zote ni Mpango wa Mwenyezi Mungu.

Maana wengine huwa wanaforce kuolewa na hadi kutumia uganga na uchawi sasa hapo utasema ndoa za hivyo ni Mpango wa Mungu?
 
Labda Kwa wale walioko kwenye uhusiano wa kirafiki na wale wahunihuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…