Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Hizi ni safari zote zinazotumia muda mrefu kwenye basi kama za kutoka Dar-Mwanza, Dar-Kagera, Dar-Tabora, Dar-Kigoma na kadhalika.
Ndugu zangu nawaambia unapomruhusu hizi safari awepo mwenyewe bila uwepo wako basi unamegewa kila siku.
Mimi binafsi nishasafiri hizi safari zaidi ya mara tano na mara zote demu ninayekaa nae siti moja lazima aliwe.
Unakuta gari inafika saa 7 hadi 8 za usiku muda ambao ashapigwa sound zamani kwaio wewe ni kumshika mkono tu na kusogea zenu nyumba ya wageni.
Yaani tena hata kama ukimtuma mtu wa kumpokea kazi bure techniq wanayoitumia utaambiwa kuna rafiki yangu kaja kunipokea hapo ndo ushike kichwa kabisa unachapiwa.
NAISHIA HAPO MSIJE MKASEMA HAMKUAMBIWA