Ukimruhusu mpenzi wako asafiri safari za masaa 24, umeumia!

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Hizi ni safari zote zinazotumia muda mrefu kwenye basi kama za kutoka Dar-Mwanza, Dar-Kagera, Dar-Tabora, Dar-Kigoma na kadhalika.

Ndugu zangu nawaambia unapomruhusu hizi safari awepo mwenyewe bila uwepo wako basi unamegewa kila siku.

Mimi binafsi nishasafiri hizi safari zaidi ya mara tano na mara zote demu ninayekaa nae siti moja lazima aliwe.

Unakuta gari inafika saa 7 hadi 8 za usiku muda ambao ashapigwa sound zamani kwaio wewe ni kumshika mkono tu na kusogea zenu nyumba ya wageni.

Yaani tena hata kama ukimtuma mtu wa kumpokea kazi bure techniq wanayoitumia utaambiwa kuna rafiki yangu kaja kunipokea hapo ndo ushike kichwa kabisa unachapiwa.

NAISHIA HAPO MSIJE MKASEMA HAMKUAMBIWA
 
Kama humwamini kiasi hiko mpeleke kwa flight tuu, afu kule Mza apokelewe
 
Oooh they do it severally regardless of where they're. In some cases they're those who get excited traveling, and they attach meaning of exploring wonders in their diversity including emotions horizon.
 
Tatizo la wanaume tumekuwa malaya alafu hatutaki kuchapiwa tatizo lipo hapo, unaweza ukaenda kazini na mkeo akaenda mtaa wa pili kumvulia mtu kwa lisaa tu na akarudi nyumbani na ukarudi usijue pambaneni na maisha yenu tu wanawake wakiamua kutulia wanatulia wakiamua ushenzi ni washenzi kweli kweli
 
Aisee katika vitu ambavyo havinisumbui kwa sasa ni hilo...kukaa kuwaza dah demu wangu sijui wanapiga huko aliko,maana hata ningekua nae muda karibu wote kama anataka kusaliti atatafuta njia tu hata ya kutembea na yeyote yule.
 
Mbona hizo mbinu za kizamani, siku hizi mambo yote yanaishia kwenye hizi marathon
 
Aisee katika vitu ambavyo havinisumbui kwa sasa ni hilo...kukaa kuwaza dah demu wangu sijui wanapiga huko aliko,maana hata ningekua nae muda karibu wote kama anataka kusaliti atatafuta njia tu hata ya kutembea na yeyote yule.
Hakika mtu akielewa hili ataishi maisha ya furaha
 
Wanawake hufanana na falsafa isiyojulikana ya FURAHA.
 
Njia nzuri ya kutofanya upuuzi ni kua bize na mambo yako utaishi kwa furaha mno na ukitaka kufa mapema mchunguze mtu unayempenda(hapa nieleweke mtu unayempenda sio side chick).
Hakika mtu akielewa hili ataishi maisha ya furaha
 
Ya nini masaa yote hayo? Kuna Mke wa mtu alikuwa anpigwa mashine Chooni wakati mmewe yupo kazini.
Wewe unashangaa huyo wakati mie juzi nimemtafuna mke wa afande bafuni akiwa anaoga ilikuwa saa mbili usiku mumewe akiwa sebureni anaangalia Taarifa ya habari TBC (mara nyingi huwa taarifa ya habari ikianza huwa habanduki kwenye tv)
 
ningekua me ndo nimemuekea hyo hapo kati ningekua naumia nikigongewa lkn kwa vile ni yake binafsi sina hofu yeye agawe awezavyo

Pole kwa hilo.
 
Wewe unashangaa huyo wakati mie juzi nimemtafuna mke wa afande bafuni akiwa anaoga ilikuwa saa mbili usiku mumewe akiwa sebureni anaangalia Taarifa ya habari TBC (mara nyingi huwa taarifa ya habari ikianza huwa habanduki kwenye tv)
duuh.....aiseee wew noma.Mimi nakumbuka nilimla demu wa mshikaji wa damu ki utani kabisa ila nilimwambia jamaa angu ata hakuumia aliona fresh tu
 
Wewe unashangaa huyo wakati mie juzi nimemtafuna mke wa afande bafuni akiwa anaoga ilikuwa saa mbili usiku mumewe akiwa sebureni anaangalia Taarifa ya habari TBC (mara nyingi huwa taarifa ya habari ikianza huwa habanduki kwenye tv)

hhahh kama afande kapime ngoma.
 
Vijana hofu kuu ni kuchapiwa. Mnaogopa kuchapiwa kuliko umaskini. Ogopa umaskini Ukiwa tajiri utamlipia ndege
Na kwenye ndege hamna ungese wa kutongoza wake za watu,kila mtu anawaza juu ya uvumbuzi wa masuala muhimu na ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…