Ukimruhusu mpenzi wako asafiri safari za masaa 24, umeumia!

Wa ache wafu wazike wafu wao, mbona hata kwenye mwendokasi watu wanapigwa sound na mizigo wanatoa. Kikubwa ni kuaminiana.
 
Unasema Dar -Bukoba au Dar -Kigoma sijui Tabora, mbali kote huko? Mimi nishakula Demu kutoka Mbeya mpaka Iringa tu! Akapitiliza Mafinga ambapo ilibidi ashuke, akamwambia mai wake gari imeharibika akazima simu! Nikanyoosha nae mpaka Iringa mjini, kesho yake asubuhi nikampa nauli akaenda kwa jamaa yake
 
Mwanamke wako kama “beki hazikabi” anaweza kwenda kuvua chupi mtaa wa pili tu hapo huku kakuacha ndani unaangalia TV

Ni tabia tu na wala sio sijui sound au mchoko wa safari
Umemaliza haswaaah
 
Wewe katili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…