Ukimsikiliza dkt Slaa vizuri, utabaini kuwa Mbowe hafai tena kuwa Kiongozi wa Chadema.

Ukimsikiliza dkt Slaa vizuri, utabaini kuwa Mbowe hafai tena kuwa Kiongozi wa Chadema.

Asante Mheshimiwa kwa ushirikiano huu unaonekana katika kipindi hiki cha mpito ambacho kuna mtu anaenda kuaibika.
 
Dr Slaa anatamani arud awe KM ikiwa TL atachaguliwa Chairman wa CDM,

Yupo kimkakati baada ya bakuli lake la Ubaloz kutupwa ..

Mzee wa miaka 77 bado anatamani kuvuruga vyama vya siasa ili apate mkate wake...
Mbunge kwa miaka 20 with nothing to offer zaid ya fitna
 
Back
Top Bottom