Ukimsikiliza dkt Slaa vizuri, utabaini kuwa Mbowe hafai tena kuwa Kiongozi wa Chadema.

Kumbuka, Slaa ni mwanachama wa CCM.
Kumbuka pia, Msigwa ni mwanachama wa CCM.
Hawa wawili wanaishauri CHADEMA isimchague Mbowe!
Si bora hao wawili wanashauri hivyo, wanaoshauri kinyume chake huko mbogamboga ni wengi mno, hata humu tunawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…