Ukimsikiliza huyu jamaa MZUKA WA KUTIKI UNAKATA KABISA.

Ukimsikiliza huyu jamaa MZUKA WA KUTIKI UNAKATA KABISA.

Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kwa Tanzania hii iliyojaa mijitu mijuha tutachelewa sana wajanja wachache ndo hao wanaitafuna nchi. Ingekuwa ni nchi ya watu wenye akili wasingekubali kusombwa na malori kwende kuwapigia nderemo mbogamboga. Tuna kazi kubwa sana

Poor Tanganyika..
 

Kwa kweli kwa hali ilivyo sasa kwenda kupiga KURA ni kuhalalisha madeal ya Samia na Wanamtandao. Ndiyo maana hata wao wanadai wataanzisha maridhiano ndani ya siku 100 baada ya uchaguzi. Kwa Mama Abdul ni Urais kwanza mengine yatafuata.

Kwa miaka yote 4 Mama Abdul kafanya ujanja ujanja.

1. Alianza na 4Rs zikajiishia zenyewe.

2. Akaja na Maridhiano na Chadema ikashindikana.

3. Akaja na Kikosi Kazi cha kina Mkandala na Zitto nacho kikaishia tusikojua.

4. Akaja na Madai ya Shule ya Katiba kwa Watanzania kwa miaka mitatu .... sijui iliishia wapi.

5. Akabalidilisha NEC kuwa INEC .....

6. Akabadili sheria za uchaguzi kwa jinsi anavyotaka yeye......

Anyway, yote hayo yalifanyika ili kusongeza muda kufikia lengo lake la 2030.
 
Nimsahihishe, Rwanda ina mbuga za wanyama inayoitwa Akagera na nyingine ni ile milima ya ruhengeri ambako kuna masokwe mtu halikadhalika Rwanda ina madini.

Sote tunataka Demokrasia itamalaki hapa Bongo country lakini tusikubali kulishwa Propaganda.
 
faida ya mtanzania ndio huwa inaonekana sasa.
 
Waafrica kinachotutesa ni UBINAFSI!

Kwa rasilimali tulizonazo,uhuru miaka 60,kwenda kukopa na kuomba omba ilihali CAG anaonesha ubadhirifu wa trillions year in year out ni ujuha!

Aibu aibu aibu, tunapeleka watu wetu shule kwa sababu gani?

1.Gold
2.Diamond
3.Ruby
4.Coal
5.Steel
6.Gas
7.Tanzanite
8.Graphite
9.Rivers,lakes and ocean
10.Arable land

Kwa hii miaka 60 ya uhuru na hali ilivyo,kuna kitu kikubwa saaana hakipo sana na bii serikali ya CCM!
 
Back
Top Bottom