Nina Kesi pale Kisutu ni miaka 5 Sasa,hakimu anaendeshwa tu na mawakili wa Serikali!!
Tangu December 2025,mpaka leo July 10 mawakili wa Serikali wameleta mashahidi wawili tu,na huku wanasema Wana mashahidi 25!! Tunategemea mawakili wa Serikali watakamilisha mashahidi wote Mwaka 2030!!
Hakimu anaona sawa tu!!