Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
Ukisoma kitabu cha Mkapa My life my purpose .
Ameelezea mambo mengi Ila kubwa kuliko kazungumzia , Kuhusu tume ya huru ya uchaguzi.
Na akasema Kama angeweza kurudisha miaka Nyuma angehakikisha anaweka tume huru ya uchaguzi.
Na anakubali Kuwa mwaka 2000 alichota kiasi kadhaa cha pesa serikalini kwa ajili ya kampeni zake anadai hayo yalikuwa makosa Makubwa alifanya.
Pia anajutia matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji wa CUF , matumizi hayo ya nguvu yalipelekea VIFO mwaka 2001.
Kwa kusoma kitabu cha mkapa , utaelewa wazi kuwa Ccm tangu 1995 huwa hawategemei ballots box (Sanduku la kura) kuingia ikulu n.k.
Ccm hawajaanza hizi harakati hivi karibuni , kwa MTU ambaye ameshiriki hizi chaguzi kwa ukaribu anajua na kuelewa kuwa ccm inapokuja swala la kushika dola lazima watumie mbinu za ziada.
Kwahiyo anachojaribu kusema Polepole na Gwajima ni ujinga ambao hauna maana kwakuwa ccm tangu 1995 huwa wanaingia ikulu kwa kuiba kura.
Nilitegemea wajikite Katika mambo ambayo wananchi hawayajui Kama kupigwa risasi kwa lissu, kifo cha utata cha Magufuli , kupotezwa kwa Ben saanane .
Mwisho , tusipochukua hatua za kimakusudi tutaendelea kulalamika daima.