Ukimsiliza vizuri Rais Samia utagundua Tanzania iko mikono salama

Ukimsiliza vizuri Rais Samia utagundua Tanzania iko mikono salama

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Rais Samia Suluhu Hassan amepokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2021/2022 kutoka kwa CAG pamoja na ripoti ya TAKUKURU.

Baada ya kupokea ripoti hiyo Rais Samia Suluhu amesema "Ukisoma ripoti ya TAKUKURU ya mwaka juzi nilipopokea kijiti na ripoti ya sasa utaona kabisa kuna improvement, wakati ripoti unaisoma na hoja nyingine unajijibu mwenyewe"- Rais Samia Suluhu.

Ukimsikiliza Rais Samia Suluhu kwa makini utagundua kuwa Tanzania ni salama chini ya uongozi huu wa awamu ya sita maana ameongea kwa uchungu sana kwa wale wanaofanya ubadhirifu hakika watanzania tulikua tunaitaji kiongozi kama huyu.
 
Hebu tumsikilize🐒🐒🐒
 
Back
Top Bottom