This is unexpected from Kaizer... Alter, hongera sana, naona he is coming right now. lol
Happy valentine days to you two...:A S-heart-2:
Natamani aliyekuwa wangu angesoma haya.
Thanks for the good lesson anyway.
This is unexpected from Kaizer... Alter, hongera sana, naona he is coming right now. lol
Happy valentine days to you two...:A S-heart-2:
Kutongoza is an art na pia hamna formula maalum. Kila mwanaume ana approach yake, na vivyo hivyo kwa wanawake kuna the way ukimuapproach lazima umpate.
Kaizer, hizo Do zako na Donts labda useme ukitaka kuwini moyo wa mwanamke na siyo simply ukimtaka mwanamke. Nasema hiv cuz kuna watu ambao hawashindi kitu, wapo radhi kutumia kila njia kuhakikisha wanampata mwanamke/msichana na kweli wanafanikiwa.
Thanks baby....Happy Valentines!:busu..unajua sitaki wapwaza na binamuz wawe dissapointed siku kama ya leo
kumtongoza mwanamke ni 'project' ya aina yake, na kama wataalam wanavyojua, kila project ni peculiar...
Cartura mbona leo wawa too brief? lol... Hebu dadafua post yako if you don't mind....
mmh AD, nimechombeza kidogo tu maana niko barabarani... nitarudi mida mida
Alter.... frankly speaking.... I did not expect this either.... Nilifikiri mambo ya kikazi zaidi ambayo huniumizaga tumbo... enways I am so glad. I think nipokee hizo pongezi thou still holding my breath...lol... Thanks hun', valentine leo nishaona dalili; It will be Great! (Of coz hii post nimeiweka katika ignore list yake... hataweza soma)
Sweetie I have NOT seen it....mambo ya kikazi leo yapo likizo....
I second my hommie. Yani amepiga ikulu ndogo. Kinachonishangaza ni muda aliorusha hili bandiko. Yani wakati analirusha mi na Kongosho tulikuwa...... Oups! Ngoja niache umbea mtoto wa kiume, hommie hapendi.

Well said, well written btw vipi nilikuona jana mitaa ya kati unakatiza na Smile...Kutongoza is an art na pia hamna formula maalum. Kila mwanaume ana approach yake, na vivyo hivyo kwa wanawake kuna the way ukimuapproach lazima umpate.
Kaizer, hizo Do zako na Donts labda useme ukitaka kuwini moyo wa mwanamke na siyo simply ukimtaka mwanamke. Nasema hiv cuz kuna watu ambao hawashindi kitu, wapo radhi kutumia kila njia kuhakikisha wanampata mwanamke/msichana na kweli wanafanikiwa.
Hahah ngoja nitafute kamera niipige picha hii post ili nipate picha kamili. Ila nlimtongoza kongosho kwa kuwa nlijua she is a real woman. Na alikubali baada ya kujua kuwa MI NI MWANAUME BANA. So mtu akipelekea yeye umbea kuhusu ODM, atamchekaje? Heheh 'haihuu' lolHommie...leo umeamkia wapi..kwa uzoefu wangu ukisecond kitu, kimepita mazima...muda usikushangaze, valentine ilikuwa imeshaanza
Hommie mfano wewe sasa hivi umempata Kongosho (Mashallah), tuseme ulitumia mbinu gani? nadhani ulifata vile vile...sema kuna mtu hapa atamtaka Kongosho, kisha atatumia mistari ya "Babu ODM ana wajukuu wengi". Ina huu? lol
alaa kumbe,
happy valentines to you all! love you.
Well said, well written btw vipi nilikuona jana mitaa ya kati unakatiza na Smile...