Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Yeah' kutongoza is an art... iwe mtongozaji ni mwanaume ama mwanamke... thou njia za utongozaji za pichana kati ya wanaume na wanawake. Na hio art depends hasa on the type of lady/man you are drawn to... tokana na sababu kua wanadamu twatofautiana... basi hata tabia na vivutio vya kila mmoja vya pishana... na ndio maana wale ambao ni true players na know all the rule of the woman world ni nadra saana kumkosa kumpata the woman anamtaka. Labda akute the lady in question ni mjanja na atambua all his ins and outs....

Good morning Rejao.... Happy Valentine dear...
Nategemea mpaka sasa AshaDii uwe umeshaandika vitabu kadhaa vya haya masuala. Upo vyema sana..am happy napata knowledge frm you for free kila siku.
Happy Valentine's ma dia!
 




  • Uwe na uwezo wa kusimama kama MWANAUME...both in public and in private, uonyeshe kuwa waweza kumtetea mpenzi wako to be katika shida yeyote, waweza kumprotect, to say the least.

  • Ujue kusema/kutumia neno SAMAHANI. Amini nakuambia, hutajuta kamwe kulitumia for you will always be rewarded.
😛oanajiandaa kuja na part 2 kwa upande wa kina dada.😛oa

Daah......................sijui kwa nini mi macho yangu yameona apo tu. Asante Kaizer na nakutakia siku njema ya siku ya valentino na wewe pia...........najua Ashadii lazima atatabasamu akiisoma hii.......lol
 
Kutongoza ni kazi rahisi kama utajua ni nini unatakiwa kufanya na ni nini hutakiwi kufanya. Pia ni nani unamtongoza kwa kumtambua inakurahisishia kujua ni gia gani uanze nayo. Wadada wengine ukianza kuongea tu anamalizia mwenyewe kwani tayari keshajua unakoelekea.HAPPY VALENTINE KWA WALE WANAOPENDANA KI UKWELI
 
Thank you Kaizer, happy valentine day too. 🙂
I expected something in line with what you have posted before. lol
I am so happy for you, happy valentine day! me naendelea na mpango wango wa ku-MasturDate leo. (yani this word kills me! :lol: )


Thanks alter for your wishes.... halafu hilo neno la Masturdate kalipata wapi King? yaani sijui hua anawaza nini that wifi of mine...lol
 
Naomba vile vile kufundishwa jinsi ya kupenda maana sijui

Hawafundishi kupenda Fidel80, hio iko ndani yetu.... na sometimes hua nje ya uwezo wetu kua yupi umepende na yupi usimpende. Hiivo kama to date bado hujabahatika, haina maana kua huwezi... Lah! ila tu ina maana bado hujampata wa kukufanya roho yako ihahe juu yake... sema pia mioyo hupishana.... wengine ni rahisi kupenda, yaani kila siku anapenda, wengine ni adimu mno.... nahisi kama wewe hapo vile...
 
Nategemea mpaka sasa AshaDii uwe umeshaandika vitabu kadhaa vya haya masuala. Upo vyema sana..am happy napata knowledge frm you for free kila siku.
Happy Valentine's ma dia!


-deeply humbled-
 
Ngoja nikajaribu kwa mwanasha nione ....sio unaleta uongo hapa!!
 
Mkuu rejao

thanks ninamaanisha yote hayo,,,,sikulenga kutenganisha kati ya kuwin moyo wake na simply kumtaka for kwa mwanamke yeyote decent ni vigumu kumpata bila pia kuwin na moyo wake au sio.
Nakubaliana na wewe pia kuwa this is not a prescription...kila mtu ana namna yakeand these are just basics, kwa muono wangu.
Nimekuelewa mkuu..
 
Thanks alter for your wishes.... halafu hilo neno la Masturdate kalipata wapi King? yaani sijui hua anawaza nini that wifi of mine...lol
Utamweza King? lol
But I entend to be very serious about it. Nimesha pokea sim na message muhimu, sasa this afternoon nimepanga to live a perfect day as defined by Russian Roulette! lol
:focus:
Sasa Shem kaenda wapi tena Alter, tunasubiri huo upande wa pili kwa ajili ya kina mama as promised.
 
Hivi bado mnatongozana mpaka leo
Mm nilifikiri wote tayari mna wenu
Au hili somo ni huku JF tu, kwani mara kongosho
na nani, mara bro kaizer na Nani?
Anyway Bro Thanks.
Nitaiprint hii nimpatie yule ankol wako
aliyemaliza fm foo juzi apate maujuzi.
 
Utamweza King? lol
But I entend to be very serious about it. Nimesha pokea sim na message muhimu, sasa this afternoon nimepanga to live a perfect day as defined by Russian Roulette! lol
:focus:
Sasa Shem kaenda wapi tena Alter, tunasubiri huo upande wa pili kwa ajili ya kina mama as promised.


Hio back topic we will have to discuss it later (hope umeandaa hot tite dress); lol

Jamana alter umesahau leo ni Valentine? Yupo kwenye maandalizi.
 
Hivi bado mnatongozana mpaka leo
Mm nilifikiri wote tayari mna wenu
Au hili somo ni huku JF tu, kwani mara kongosho
na nani, mara bro kaizer na Nani?
Anyway Bro Thanks.
Nitaiprint hii nimpatie yule ankol wako
aliyemaliza fm foo juzi apate maujuzi.


Happy valentine DaMie...
 
Back
Top Bottom