arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
Somo zuri kwa wakaka hasa kwa siku kama ya leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nategemea mpaka sasa AshaDii uwe umeshaandika vitabu kadhaa vya haya masuala. Upo vyema sana..am happy napata knowledge frm you for free kila siku.Yeah' kutongoza is an art... iwe mtongozaji ni mwanaume ama mwanamke... thou njia za utongozaji za pichana kati ya wanaume na wanawake. Na hio art depends hasa on the type of lady/man you are drawn to... tokana na sababu kua wanadamu twatofautiana... basi hata tabia na vivutio vya kila mmoja vya pishana... na ndio maana wale ambao ni true players na know all the rule of the woman world ni nadra saana kumkosa kumpata the woman anamtaka. Labda akute the lady in question ni mjanja na atambua all his ins and outs....
Good morning Rejao.... Happy Valentine dear...
Inachukua muda sana kujua huyu mtu anamaanisha hicho kitu vinginevyo naona kawaida tu wala sishtuki
- Uwe na uwezo wa kusimama kama MWANAUME...both in public and in private, uonyeshe kuwa waweza kumtetea mpenzi wako to be katika shida yeyote, waweza kumprotect, to say the least.
😛oanajiandaa kuja na part 2 kwa upande wa kina dada.😛oa
- Ujue kusema/kutumia neno SAMAHANI. Amini nakuambia, hutajuta kamwe kulitumia for you will always be rewarded.
Thank you Kaizer, happy valentine day too. 🙂
I expected something in line with what you have posted before. lol
I am so happy for you, happy valentine day! me naendelea na mpango wango wa ku-MasturDate leo. (yani this word kills me! :lol: )
Naomba vile vile kufundishwa jinsi ya kupenda maana sijui
...haha, pole kamanda.....je, kupendwa wajua?
Nategemea mpaka sasa AshaDii uwe umeshaandika vitabu kadhaa vya haya masuala. Upo vyema sana..am happy napata knowledge frm you for free kila siku.
Happy Valentine's ma dia!
Nimekuelewa mkuu..Mkuu rejao
thanks ninamaanisha yote hayo,,,,sikulenga kutenganisha kati ya kuwin moyo wake na simply kumtaka for kwa mwanamke yeyote decent ni vigumu kumpata bila pia kuwin na moyo wake au sio.
Nakubaliana na wewe pia kuwa this is not a prescription...kila mtu ana namna yakeand these are just basics, kwa muono wangu.
Utamweza King? lolThanks alter for your wishes.... halafu hilo neno la Masturdate kalipata wapi King? yaani sijui hua anawaza nini that wifi of mine...lol
Utamweza King? lol
But I entend to be very serious about it. Nimesha pokea sim na message muhimu, sasa this afternoon nimepanga to live a perfect day as defined by Russian Roulette! lol
:focus:
Sasa Shem kaenda wapi tena Alter, tunasubiri huo upande wa pili kwa ajili ya kina mama as promised.
Hivi bado mnatongozana mpaka leo
Mm nilifikiri wote tayari mna wenu
Au hili somo ni huku JF tu, kwani mara kongosho
na nani, mara bro kaizer na Nani?
Anyway Bro Thanks.
Nitaiprint hii nimpatie yule ankol wako
aliyemaliza fm foo juzi apate maujuzi.
Na hilo ndilo neno la LEO, siku ya wapendanao.
Baada ya kusema hayo, nawakaribisha wengineo wajazilizie, of course najiandaa kuja na part 2 kwa upande wa kina dada.
Happy valentine!😛oa
C'mon, you can share more than that...Amen......