Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Shem hivi ukiwa unaongea kuhusu habari zako nayo ni umbea? I wonder...
mbona sasa hapo utakua umenikaba nisiwe na brag?
Happy Valentine darling shem.
Shem limbwata lako kiboko. Leo chama limepwaya. Waweza mwelekeza kongosho ulipolinunulia? Mi luvs limbwata of this kind asee. Happy valentines darling shem. Mi niko na my darling valentine nanyonya na kudeka. This mama of mine is an angel on earth.
 
Tumshukuru Kaizer...
 
hahahah acha uongo kwa asili si wanaume ni nchi ,mwanamke ni mwananchi anaenda nchi ambayo sheria zake anaweza wengine wanapenda nchi za kiislamu,kidikteta ,kidemocrasia ,kijamaa, e.t.c so just be you and pop ya true colors mapema ,its magic someone will come 4 u.
 
Shem limbwata lako kiboko. Leo chama limepwaya. Waweza mwelekeza kongosho ulipolinunulia? Mi luvs limbwata of this kind asee. Happy valentines darling shem. Mi niko na my darling valentine nanyonya na kudeka. This mama of mine is an angel on earth.


Shem ODM umesahau taratibu zenu? lol, Limbwata unanunua wewe/yeye alafu ananipa nimpe.... hata hivo mbona naona kama iko vile vile hamna kilichoongezeka? Regards to your mama... tell her ADI is so thankful she gave birth to her darling shem...
 
Na kukubaliana na matakwa ya mtongozaji nayo ni art au unakuwa tayari umenasa mtegoni mwa mtongozaji?


Hata kukubaliana kwa matakwa ya mtongozaji nayo ni art, but art applied ni ndogo mno ukifananisha na ile applied na anae tongoza... Mara nyingi watongozwaji hua tuko weak at heart, ubongo kua applied ni mara chache (hii hasa sisi wanawake)
 
Mkuu, hao waadilifu mbona kama karibu wanakwisha kabisa kwenye hizi enzi zetu? Simaanishi kwamba hawapo, lakini kama Marijani (RIP) alivyoimba, '.... kwenye watu kumi binadamu mmoja", naye kumpata ndo shughuli!

................endelea na kale kasehemu ka wimbo wa huyohuyo Marijani Rajabu kasemacho..............."penye udhia penyeza............", we nacheza na pesa wewe,..............itajileta yenyewe haitaweza kusubirisha mimi atiiiiii!
 
Lazima tuende na wakati, Kwanza ukiona umetumia energy kubwa sana kutongaza hiyo iko proportional na energy utakayoitumia kwenye ku keep that relationship alive. Dont worry about a think, you will find your match without sweat. Msichana mmoja unaweza ukatumia energy kubwa kumtongoza at the same time kuna mwingine hata hamtongozi anavuta tu. Na hizi tricks nimezungumza sana haziko the same kwa kila mtu wengine zote zilizotajwa hata hazitumiki. Kuna msichana mwingine usipomdanganya humpati milele, pale utakapomdanganya tu umempata.

 

Happy Valentine My Big shem,
Hapo msg send and delivered kwa mhusika lol!
Mpe hi my big Sisy hapo Bisaidi yako!!!

 
:A S embarassed::A S embarassed: RR...what was to be expected jamani...I am Kaizer, and I will remain just that....Happy valentine too RR....:busu
Thank you Kaizer, happy valentine day too. 🙂
I expected something in line with what you have posted before. lol

I am so happy for you, happy valentine day! me naendelea na mpango wango wa ku-MasturDate leo. (yani this word from King'asti kills me! :lol: )
 

...wakumbushe kamanda, mwenyewe nimejikumbusha mawili matatu, thx....very useful sredi...
 

...wakumbushe kamanda, mwenyewe nimejikumbusha mawili matatu, thx....very useful sredi...

Mi hii siku imenipitia kushoto sana kwa vile sijui nini maana ya kupenda mpwa?
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…