Mine would be preferable.... My man would like to know you too... Karibu saana, it is beta you say the kind you food and drink you like mapema kabisa.....😛oa
Is this swinging? if yes, count me in.
Wakuu mabibi na Mabwana
Happy valentine's day to you all, kwa niama ya my BIIIG family, sweetie AshaDii, ma hommies, wapwaz, mabinamu, friends in need na wote wenye mapenzi mema.
Kitu kimoja kinanishangaza sana nimeona ni muhimu tukapeana ushauri hasa kwa siye tunaojiona Wanaume.
Ukimtaka msichana, ukataka awe mpenzi wako, katika shida na raha, watakiwa kwanza:
- Uwe na uwezo wa kusimama kama MWANAUME...both in public and in private, uonyeshe kuwa waweza kumtetea mpenzi wako to be katika shida yeyote, waweza kumprotect, to say the least.
- Usije hata siku moja, ukamtaka msichana kwa gia ya kumpakazia rafiki yako (ambaye unahisi anamfukuzia), kumsemea vibaya/mabaya lengo likiwa kumpaint kama a bad boy. Amini usiamini, kwa kufanya hivyo wampandisha chati rafiki yako, na kujidharaulisha kwa huyo mwanamke...HUTAMPATA. DON'T be a coward....speak it out
- Katika kumwaga sera za mapenzi a.k.a kutongoza, kuna KUKUBALIWA, KUSUBIRISHWA, Na KUKATALIWA pia. Amin nakuambia, KUWA TAYARI kukubaliana na majibun utakayopewa, Tambua kuwa you are not so special and you may NOT simply be her type. PESA, MALI etc haviwezi KUNUNUA moyo wa mwanamke yeyote MWADILIFU.
Na hilo ndilo neno la LEO, siku ya wapendanao.
- Elewa kuwa mwanaume kuwa mmbea sio sifa hata kidogo mbele ya mwanamke....Mwanaume unatakiwa unapokuwa na mpenzi wako, uonyeshe upeo wako wa uelewa wa mambo mbalimbali, uhodari wa kupanga mipango ya maendeleo na kimapenzi...sio uhodari wa kuongea mambo ya watu!
- Ujue kusema/kutumia neno SAMAHANI. Amini nakuambia, hutajuta kamwe kulitumia for you will always be rewarded.
Baada ya kusema hayo, nawakaribisha wengineo wajazilizie, of course najiandaa kuja na part 2 kwa upande wa kina dada.
Happy valentine!😛oa
right mate, akiwa mmbeya anaitwa nani?Hommie hebu ngoja nikadadavue uanaume...!
Yaani kwa kifupi mwanaume SI MBEA!!!
Baddy Kaizer
Hii kitu ilipita nikiwa kwenye mafungo..... nimependa sana hiyo ya mwanaume kuwa mmbea; ni tatizo linatutafuna sana huku uraiani... unakuta huna hata habari ya kinachoendelea, anakuja kayayii anaanza na "wewe si nimesikia ndio mbaya wa JF aisee, naskia umelamba hadi faizafoxy".... mkuu cowardice ni mbaya kwani apart from smearing, it helps the farmer, ....
ivo? sidhani.....Timing alipoteza timing ya sredi ndo kaiona
Mhhhhh Uncle, kweli vile? kaitoa wapi?ivo? sidhani.....Timing alipoteza timing ya sredi ndo kaiona
Mhhhhh Uncle, kweli vile? kaitoa wapi?
Lazima kapewa link au kaikumbuka
kutokana na mazingira fulani fulani...
mmh. Kipipi, unaisubiria eeh?
mafungo naona yamechukua muda buddy....sasa bas, habari ndio hiyo....... hapo underline...ndo haswaaa mambo yenyewe...yanaboa si kitoto!
Mhhhhh Uncle, kweli vile? kaitoa wapi?
Lazima kapewa link au kaikumbuka
kutokana na mazingira fulani fulani...
hahaha..whats so special hapo Kipipi....lol
Mpenzi, akisha post kumbuka kuni-mention ili na mimi nije kusoma. lolSiku ukishaipost.....basi ndo utaniuliza hilo swali! Lol
Mpenzi, akisha post kumbuka kuni-mention ili na mimi nije kusoma. lol
Usijali......hata simu nitakupigia! Btw, mzima wewe?