Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Mine would be preferable.... My man would like to know you too... Karibu saana, it is beta you say the kind you food and drink you like mapema kabisa.....😛oa

Is this swinging? if yes, count me in.
 
Is this swinging? if yes, count me in.



C'mon man!!! Do I look like the typo who can rely on a Man who entertains Swinging??
My theory is Swinging is for those who can not handle it.... :eyebrows: I am possessive.... thus it hits both ways I guess....lol
 
Mkuu Kaizer, nakupongeza kwa thread nzuri inayoishi. Kifupi umegusa mengi ya muhimu na yenye ukweli kwa kiasi fulani. Kwa lengo la kukumbushana na kufahamishana juu ya mambo haya umefanikiwa. LAKINI angalizo langu kwako ni juu ya Approach uliyoitumia. Ki ukweli si muda wote mambo huwa hiyo. Swala la utongozaji ni sanaa, lahitaji ubunifu wa muhusika tena kwa kuzingatia hali iliyopo. So si muda wote haya huusika. Ktk hayo mambo uliyo ya ignore kuna baadhi ya ladies wayapendayo. Asante!
 
Wakuu mabibi na Mabwana

Happy valentine's day to you all, kwa niama ya my BIIIG family, sweetie AshaDii, ma hommies, wapwaz, mabinamu, friends in need na wote wenye mapenzi mema.


Kitu kimoja kinanishangaza sana nimeona ni muhimu tukapeana ushauri hasa kwa siye tunaojiona Wanaume.

Ukimtaka msichana, ukataka awe mpenzi wako, katika shida na raha, watakiwa kwanza:

  • Uwe na uwezo wa kusimama kama MWANAUME...both in public and in private, uonyeshe kuwa waweza kumtetea mpenzi wako to be katika shida yeyote, waweza kumprotect, to say the least.

  • Usije hata siku moja, ukamtaka msichana kwa gia ya kumpakazia rafiki yako (ambaye unahisi anamfukuzia), kumsemea vibaya/mabaya lengo likiwa kumpaint kama a bad boy. Amini usiamini, kwa kufanya hivyo wampandisha chati rafiki yako, na kujidharaulisha kwa huyo mwanamke...HUTAMPATA. DON'T be a coward....speak it out

  • Katika kumwaga sera za mapenzi a.k.a kutongoza, kuna KUKUBALIWA, KUSUBIRISHWA, Na KUKATALIWA pia. Amin nakuambia, KUWA TAYARI kukubaliana na majibun utakayopewa, Tambua kuwa you are not so special and you may NOT simply be her type. PESA, MALI etc haviwezi KUNUNUA moyo wa mwanamke yeyote MWADILIFU.

  • Elewa kuwa mwanaume kuwa mmbea sio sifa hata kidogo mbele ya mwanamke....Mwanaume unatakiwa unapokuwa na mpenzi wako, uonyeshe upeo wako wa uelewa wa mambo mbalimbali, uhodari wa kupanga mipango ya maendeleo na kimapenzi...sio uhodari wa kuongea mambo ya watu!
  • Ujue kusema/kutumia neno SAMAHANI. Amini nakuambia, hutajuta kamwe kulitumia for you will always be rewarded.
Na hilo ndilo neno la LEO, siku ya wapendanao.

Baada ya kusema hayo, nawakaribisha wengineo wajazilizie, of course najiandaa kuja na part 2 kwa upande wa kina dada.

Happy valentine!😛oa

Baddy Kaizer

Hii kitu ilipita nikiwa kwenye mafungo..... nimependa sana hiyo ya mwanaume kuwa mmbea; ni tatizo linatutafuna sana huku uraiani... unakuta huna hata habari ya kinachoendelea, anakuja kayayii anaanza na "wewe si nimesikia ndio mbaya wa JF aisee, naskia umelamba hadi faizafoxy".... mkuu cowardice ni mbaya kwani apart from smearing, it helps the farmer, ....
A%20S%20confused.gif
 
Hii thread kufufuliwa jua kuna ujumbe kwa mtu maalum
Halafu mbona Anti yangu kama katoa hadi avatar? :confused2:
 
Baddy Kaizer

Hii kitu ilipita nikiwa kwenye mafungo..... nimependa sana hiyo ya mwanaume kuwa mmbea; ni tatizo linatutafuna sana huku uraiani... unakuta huna hata habari ya kinachoendelea, anakuja kayayii anaanza na "wewe si nimesikia ndio mbaya wa JF aisee, naskia umelamba hadi faizafoxy".... mkuu cowardice ni mbaya kwani apart from smearing, it helps the farmer, ....
A%20S%20confused.gif

mafungo naona yamechukua muda buddy....sasa bas, habari ndio hiyo....... hapo underline...ndo haswaaa mambo yenyewe...yanaboa si kitoto!
 
Mhhhhh Uncle, kweli vile? kaitoa wapi?
Lazima kapewa link au kaikumbuka
kutokana na mazingira fulani fulani...

Dear Mwali,

Atakuwa kasearch labda....huwezi jua alikuwa anatafuta nini..unajua JF kabla hujapost kitu, inashauriwa uchungulia ili tusije kupost thread kumbe ishapostiwa zamani..pengine amekuwa na the same experience..what do you think my niece?
 
mafungo naona yamechukua muda buddy....sasa bas, habari ndio hiyo....... hapo underline...ndo haswaaa mambo yenyewe...yanaboa si kitoto!

all i can say is SHKAMOO MWANANGU!!!
 
Usijali......hata simu nitakupigia! Btw, mzima wewe?

Mi mzima kabisa, leo nilikua thread ya MJ1, I really liked it. Imekua ni siku nyingi toka ni-enjoy thread kama nilivo enjoy ile... very insightful my dear, very insightful...:A S 41:
 
Back
Top Bottom