Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Wakuu mabibi na MabwanaHappy valentine's day to you all, kwa niama ya my BIIIG family, sweetie AshaDii, ma hommies, wapwaz, mabinamu, friends in need na wote wenye mapenzi mema.Kitu kimoja kinanishangaza sana nimeona ni muhimu tukapeana ushauri hasa kwa siye tunaojiona Wanaume. Ukimtaka msichana, ukataka awe mpenzi wako, katika shida na raha, watakiwa kwanza:
  • Uwe na uwezo wa kusimama kama MWANAUME...both in public and in private, uonyeshe kuwa waweza kumtetea mpenzi wako to be katika shida yeyote, waweza kumprotect, to say the least.
  • Usije hata siku moja, ukamtaka msichana kwa gia ya kumpakazia rafiki yako (ambaye unahisi anamfukuzia), kumsemea vibaya/mabaya lengo likiwa kumpaint kama a bad boy. Amini usiamini, kwa kufanya hivyo wampandisha chati rafiki yako, na kujidharaulisha kwa huyo mwanamke...HUTAMPATA. DON'T be a coward....speak it out
  • Katika kumwaga sera za mapenzi a.k.a kutongoza, kuna KUKUBALIWA, KUSUBIRISHWA, Na KUKATALIWA pia. Amin nakuambia, KUWA TAYARI kukubaliana na majibun utakayopewa, Tambua kuwa you are not so special and you may NOT simply be her type. PESA, MALI etc haviwezi KUNUNUA moyo wa mwanamke yeyote MWADILIFU.
  • Elewa kuwa mwanaume kuwa mmbea sio sifa hata kidogo mbele ya mwanamke....Mwanaume unatakiwa unapokuwa na mpenzi wako, uonyeshe upeo wako wa uelewa wa mambo mbalimbali, uhodari wa kupanga mipango ya maendeleo na kimapenzi...sio uhodari wa kuongea mambo ya watu!
  • Ujue kusema/kutumia neno SAMAHANI. Amini nakuambia, hutajuta kamwe kulitumia for you will always be rewarded.
Na hilo ndilo neno la LEO, siku ya wapendanao.Baada ya kusema hayo, nawakaribisha wengineo wajazilizie, of course najiandaa kuja na part 2 kwa upande wa kina dada.Happy valentine!😛oa
Ebwaaaaaaana eeeeeeeh, Hebu tuchezee hiyo chorus katika F major?
 
................endelea na kale kasehemu ka wimbo wa huyohuyo Marijani Rajabu kasemacho..............."penye udhia penyeza............", we nacheza na pesa wewe,..............itajileta yenyewe haitaweza kusubirisha mimi atiiiiii!

​Mkuu, hao wanaopatikana kwa kupenyeza rupia wako wengi kama maji ya bahari, lakini ujue siku rupia zimepiga chenga ndo nao huwaoni.
 
RR, sorry hivi kama Mod umenionea Mpwa wangu Mwali sehemu yeyote humu jamvini? She is conspicuously missing here...:A S-coffee:
Anti, naona Uncle hajashtukia kua nilikua na Husninyo toka Valentine's Day... we had so much fun jamani. Ngoja nimwachie chai yake with a red rose akija aikute... please don't tell him I didn't sleep home... pleaaaase...😛ray2:

Gaufrettes.jpg
 
Thank you Mwali....thank you,,,,sasa basi naomba urudishe ile signature yako....sijaaambiwa bado kama hukulala nyumbani!:juggle:
 
Hao ndio watafiti wetu bwana,hata yule aliyesema nusu ya wanaume ni wagumba nilishangaa sana sample yake,eti ni wagonjwa walienda kupata tiba kwake.. khaaa kweli utafiti umeingiliwa,akaja kuaribu eti ukibeba laptop unaweza kupata ugumba kwa mwanamme, hivi kuna uhusiano gani laptop ipo kwenye beg naibeba mkonon lakn huku kwenye dushelele kupate ugumba?.

Baada ya kusema hayo......

Hommie hebu niambie kama ujumbe umeeleweka kwa watu au niongeze msisitizo...
:focus:
 
Skamoo babu, bibi yetu mzima?
leo nilikuskia uliamka mapema,
nikabaki kujiuliza... :A S 39:
 
hahahahaha, skamoo uncle! mi nilikua na Husninyo na Fang.
Signature nitarudisha sasa hivi uncle.

mmmh...Mwali angalia...hao Fang na Hus watakufundisha 'njia mbaya'

come back home...sawa
 
Hao ndio watafiti wetu bwana,hata yule aliyesema nusu ya wanaume ni wagumba nilishangaa sana sample yake,eti ni wagonjwa walienda kupata tiba kwake.. khaaa kweli utafiti umeingiliwa,akaja kuaribu eti ukibeba laptop unaweza kupata ugumba kwa mwanamme, hivi kuna uhusiano gani laptop ipo kwenye beg naibeba mkonon lakn huku kwenye dushelele kupate ugumba?.

Baada ya kusema hayo......

Hommie hebu niambie kama ujumbe umeeleweka kwa watu au niongeze msisitizo
...
:focus:

hommie shule zetu hizi za siku hizi sidhani kama ujumbe umeeleweka......hebu uweke waaaaz zaidi!
 
Anti, naona Uncle hajashtukia kua nilikua na Husninyo toka Valentine's Day... we had so much fun jamani. Ngoja nimwachie chai yake with a red rose akija aikute... please don't tell him I didn't sleep home... pleaaaase...😛ray2:

aisseee kweli wewe huwezi mficha ankal wako kitu! lol..... Sasa unaona sasa Husny atakua na wakati mgumu.... My mwali uje tuongee tuweke mambo sawa, uzuri ankal kasoma hii post hajaelewa....lol

hahaha ODM Mwali hakaguliwi bila ruhusa ya Ankal wake...hii hata Antie yake AshaDii hawezi kumpa kabisa..:A S-coffee:

Sweetie.... naomba ruhusa, lemme take care of ODM, nimueleweshe, from you yaaan hakupati kabisa.... what say you hun'?
 
hommie shule zetu hizi za siku hizi sidhani kama ujumbe umeeleweka......hebu uweke waaaaz zaidi!
Hommie hebu ngoja nikadadavue uanaume...!
Habari zenu waungwana.....

Huu ni waraka kwa vijana/wavulana wanaokaribia kuwa WANAUME. Kuwa MWANAUME si mchezo na si lelemama. Ushawahi kusikia Chama cha Wanaume, Umoja wa Wanaume, Umoja wa Wanasheria Wanaume, Umoja wa Madaktari wanaume etc?........ Hii inamaanisha MWANAUME ni Taasisi inayojitegemea.
Mwanaume kamili aliyekamilika si kama yule aliyozungumzia Bishanga kwenye sredi yake (kwa makusudi siweki link yake hapa)
Ili uwe MWANAUME yakupasa kwanza kabisa kumshukuru Mungu kwa kuumbwa jinsia ya kiume. Umepewa upendeleo lazima ushukuru. Halafu:

1. Uwe RIJALI na MMILIKI (hili halihitaji ufafanuzi) Ukishakuwa rijali unapaswa uwe na UMILIKI. Umiliki wa mwanaume rijali ni umiliki wa MWANAMKE/WANAWAKE. Iwe rasmi au vinginevyo. (Umiliki wa watoto pia ni muhimu japokuwa hili lategemea zaidi mapenzi ya Mungu). Ikumbukwe kuwa Mwanamke ni MALI ya mwanaume lakini watoto ni mali ya Mwanamke na Mwanamme.

2.Uwe na MAAMUZI. Usilegelege katika maamuzi yako. Mwanaume ndiyo kichwa cha familia, kichwa hakipaswi kuyumbishwa na mabega.....sawa? Kumbuka wewe ni taasisi!

3. MWAJIBIKAJI: Ni wajibu wako kuhakikisha Mwanamke UNAYEMMILIKI anatosheka na na kuridhika na huduma zako. Bioloji yake ipate habari yake sawa sawa, tumbo lake lipate chakula cha kutosha, mwili wake upate mavazi na miguu viatu. Mkipata watoto na mwanamke wako ni wajibu wako kuhakikisha wanapata mahitaji yote wanayostahili. Kama huna uwezo kwanini uzae kama kuku? Kulaaaleki!

4. Ukishafanikiwa kuyamudu yooote hayo hapo juu, usisahau kuwa duniani kuna wanaume wenzako. Tafuta muda wa kukutana na wanaume wenzako uongeze ujuzi na maarifa ya kuuishi uanaume. Hapo valuu, biya na nyama choma vinaruhusiwa kusikiliza maongezi yenu. Ukishapiga haya makitu rudi kwa mwanamke wako kampe haki yake kulaaleki. Ikumbukwe kuwahi kurudi nyumbani si sifa ya mwanaume. Mwache Mwanamke wako awe na muda wa kuwa huru na kulea watoto.

5. Inapotokea kwa namna yoyote na kwa sababu yoyote ile necha ikashika kasi ukajikuta unaenda nje ya MWANAMKE WAKO, hakikisha unaenda kwa uangalifu. MWANAMKE WAKO asijue! Kosa kubwa sana akijua, na hii si sifa ya mwanaume. Huo ni uvulana. Na huko ufanye kwa UANGALIFU. Usijemletea maradhi MWANAMKE wako.

Kuna wakongwe wenzangu, WANAUME wenzangu kibao wako hapa jamvini wanaweza kuendeleza huo mlolongo.

Au kama vipi, leo ni ijumaa, twaweza panga mkakati wa kukutana ili tuzungumzie uanaume wetu.

SISI NDIO WANAUME BANA! Wanaume ndio SISI.

Wanaume wengine hawa hapa wanaendeleza waraka.....

Yaani kwa kifupi mwanaume SI MBEA!!!
 
Yeah' kutongoza is an art... iwe mtongozaji ni mwanaume ama mwanamke... thou njia za utongozaji za pichana kati ya wanaume na wanawake. Na hio art depends hasa on the type of lady/man you are drawn to... tokana na sababu kua wanadamu twatofautiana... basi hata tabia na vivutio vya kila mmoja vya pishana... na ndio maana wale ambao ni true players na know all the rule of the woman world ni nadra saana kumkosa kumpata the woman anamtaka. Labda akute the lady in question ni mjanja na atambua all his ins and outs....

Good morning Rejao.... Happy Valentine dear...

My place or yours?
 
My place or yours?

Mine would be preferable.... My man would like to know you too... Karibu saana, it is beta you say the kind you food and drink you like mapema kabisa.....😛oa
 
Back
Top Bottom