johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana.
Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima?
Kwa mfano Iringa mjini sijawahi kusikia mbunge kaitisha mkutano.