johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Kumbe ni mtu maarufu sana!!Usilolijua wale unaowaona sio wapiga kura waje bali waumini wa kanisa lake,wengine hutoka mbagala,gongolamboto nk kuja kumsikiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni mtu maarufu sana!!Usilolijua wale unaowaona sio wapiga kura waje bali waumini wa kanisa lake,wengine hutoka mbagala,gongolamboto nk kuja kumsikiliza
We jamaal unachekesha kishenzi!!Propaganda zako mfu haziwezi kufuta ukweli kuwa wabunge wa CCM ni mandondocha.
View attachment 2287670
View attachment 2287671
View attachment 2287672
View attachment 2287673
Unamaanisha nini,Kumbe ni mtu maarufu sana!!
Kama Watu wanamfuata Siasani na Kanisani basi huyo ni mtu maarufu sana!Unamaanisha nini,
Unajua maana ya misukule?Kama Watu wanamfuata Siasani na Kanisani basi huyo ni mtu maarufu sana!
Sory, hapo nimekosea. Naomba nisamehewe bure na yeyote aliyekwazwa na majibu yangu ambayo kwa Mtwara vijijini nimekoseaMtwara vijijini ni CUF Wewe bavicha!
Wako wengi tuu sema wewe ndio unajilisha upepo..Hata hivyo wabunge wa mjini ni kawaida kwa watu kutohudhuria tofauti na Vijijini.Nimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana.
Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima?
Kwa mfano Iringa mjini sijawahi kusikia mbunge kaitisha mkutano.
Akikujibu pls nitag na mimi,swali fikirishi sana hiloKwenye hiyo mikutano anayojaza watu, AMESHAWAPA UPDATES ZA ILE SAFARI YA NJE YA NCHI KWA WAPIGA KURA WAKE.??
Kiuhalisia, Wabunge wote ni wa Magufuli. Chadema wana Mbunge moja waliopewa na Magufuli ......!!Ndio tulionao kwa sasa
Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa
Badala ya kujadili Mambo ya Maana yenye Tija kwa Taifa unajadili kujaza Watu ili iweje?Nimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana.
Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima?
Kwa mfano Iringa mjini sijawahi kusikia mbunge kaitisha mkutano.
Siasa ni Watu usiwe mbwiga!Badala ya kujadili Mambo ya Maana yenye Tija kwa Taifa unajadili kujaza Watu ili iweje?
Isijekuwa ni wale wa Jumapili wameshindwa kutofautishaNimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana.
Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima?
Kwa mfano Iringa mjini sijawahi kusikia mbunge kaitisha mkutano.
Hata UMALAYA ni watuSiasa ni Watu usiwe mbwiga!
Nimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana.
Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima?
Kwa mfano Iringa mjini sijawahi kusikia mbunge kaitisha mkutano.