johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahaha......uelekeo wa KidabagaJesca Msambatavangu wa Jimbo la Nyabula.
Ndio tulionao kwa sasaHili jina "WABUNGE WA CCM" limekaa bomba Sana.
WawiliNdio tulionao kwa sasa
Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa
WawapiWawili
Nkasi (kwa bwana Kessy zamani) na Mtwara vijijini (kwa Hawa ghasia zamani)Wawapi
Ulihudhuria kama nani?Nimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana.
Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima?
Kwa mfano Iringa mjini sijawahi kusikia mbunge kaitisha mkutano.
KibajajiNkasi (kwa bwana Kessy zamani) na Mtwara vijijini (kwa Hawa ghasia zamani)
Ok Hawa waliitambua Serikali iliyopo madarakani wenyewe wakati chama Chao hakikutambua mpaka Leo hii..nashangaa wanaangaishana na kina Ndee wa nini wakati Serikali na bunge lake hawalitambui.. wale sio wabunge wa chadema baada ya kufutwa kupitia baraza laoNkasi (kwa bwana Kessy zamani) na Mtwara vijijini (kwa Hawa ghasia zamani)
Mtwara vijijini ni CUF Wewe bavicha!Nkasi (kwa bwana Kessy zamani) na Mtwara vijijini (kwa Hawa ghasia zamani)
Mtwara vijijini ni mbunge wa CUF Siyo ChademaOk Hawa waliitambua Serikali iliyopo madarakani wenyewe wakati chama Chao hakikutambua mpaka Leo hii..nashangaa wanaangaishana na kina Ndee wa nini wakati Serikali na bunge lake hawalitambui.. wale sio wabunge wa chadema baada ya kufutwa kupitia baraza lao
Mpiga kuraUlihudhuria kama nani?
Usilolijua wale unaowaona sio wapiga kura waje bali waumini wa kanisa lake,wengine hutoka mbagala,gongolamboto nk kuja kumsikilizaNimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana.
Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima?
Kwa mfano Iringa mjini sijawahi kusikia mbunge kaitisha mkutano.