Ukimtoa King Kiba. Je, kuna jembe jingine hapa Bongo?

Teh Teh Mwl Evelyn Salt njoo umuone mwana funzi wako Sakafu....
 
Last edited by a moderator:
Kuna wt watakuja kama wameibiwa wake zao hapa
 
Acha asifiwe una taka wako tu ndo asifiwe.

Me sijakataa asifiwe me mwenyewe huwa namsifia inapobidi, lakini kumpa sifa ambazo sio zake anajiona amemaliza.

Eti msanii wa kimataifa masanii gani wa kimataifa hata hapo Rwanda hajulikani.

Badala ya kumvimbisha kichwa kwa misifa ya kijinga mwambieni ajitahidi ajulikane kimataifa na nyinyi mjivunie kua king wenu ni wa kimataifa!
 
mbona yupo au ndo umemsahau Kaka wa Taifa la tanzaniaa? ambaye hivi karibuni atamtambulisha mtoto wa taifa...

ushasahau?
 

Sasa hapo ulitaka awe kimataifa kivipi tunasifia inapobidi tu kila msanii na malengo yake yeye labda kaona amefika safari yake na hataki huko kwingine kwa hyo tusi mpe hongera kila jambo na wakati wake.
 
Mtoto wa kiume kuandika na kushadadia mambo kama haya ni dalili ya ush.oga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…