Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Teh Teh Mwl Evelyn Salt njoo umuone mwana funzi wako Sakafu....
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli nimeamini wanaomshusha Kiba ni mashabiki wake mwenyewe!
Yaani wanampa sifa zisizo zake, eti kimataifa, aisee!
http://jilegeze ukazwe.org
Vipi nikusagie chupa ulambe??? Au nikupe stillwire utafune??
King kiba for real........
Acha asifiwe una taka wako tu ndo asifiwe.
Nipo huku Ukerewe..huku watu wanamjua dk Slaa..Nyerere na Diamond platnumz tu......huyo Kiba ni diwani wa kata gani????
Me sijakataa asifiwe me mwenyewe huwa namsifia inapobidi, lakini kumpa sifa ambazo sio zake anajiona amemaliza.
Eti msanii wa kimataifa masanii gani wa kimataifa hata hapo Rwanda hajulikani.
Badala ya kumvimbisha kichwa kwa misifa ya kijinga mwambieni ajitahidi ajulikane kimataifa na nyinyi mjivunie kua king wenu ni wa kimataifa!
ha ha ha wasanii wa kimataifa kweli ni k na best nasso tu no one elseTeh Teh Mwl Evelyn Salt njoo umuone mwana funzi wako Sakafu....
ha ha ha jilegeze ukazwe lolhttp://jilegeze ukazwe.org
ha ha ha jilegeze ukazwe lol