Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae

Sishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae?”…

Sasa kauli nitayoisema next ni ita-make sense ukiliwaza vizuri, “Ni rahisi rafiki wa mwanamke kutoka na mwanaume wa rafiki yao ila ngumu kwa rafiki wa mwanaume kutoka na mwanamke wa mshkaji wao. Mwanaume anamchagua mwanamke wake ila wanawake wanasaidiana kuchagua.
Ndiooo .....lazima ujadiliwe na kupitishwa na kamati.

Lazima tutoe comment "jamani mbona shemeji mwenyewe mfupi mno ana kitambi hayuko smart" nae anajitetea jamani ndo ananiweka mjini huyu kamati tunakupitisha "basi sawa"

Ukiongea nae kwenye simu anatupa na sisi tukusalimie kisha tunakuuliza shem umempa nini rafiki yetu anakupenda hadi sio poa kabadilika hata kutoka na sisi hataki anataka kuwa na wewe tu muda wote shem darling. Unajichekeeeesha unatuma na ya kutolea mashemeji zako tuinjoi.
 
Mimi nikiwa sijamuelewa wallah atajuta hata km Hana kasoro nitaitafuta na nitaipata na lazima akataliwe na kura za hapana 😂😂😂
 
Paaah unageuka Doctor Love with 10 years experience
Huwezi amini ss hivi nimekuwa mshauri wa mahusiano bila kutarajia 😂😂😂
Nimejikuta nna expérience y’a kutosha kwa hawa viumbe.!!
Kuna siku niliweka clip TikTok kuna wanaume waliniponda wakawaambia followers wangu eti mimama mikubwa mmekaa mnashauriwa na kibinti cha 25s ambacho hakina ndoa 🤣🤣🤣
 
Ndiooo .....lazima ujadiliwe na kupitishwa na kamati.

Lazima tutoe comment "jamani mbona shemeji mwenyewe mfupi mno ana kitambi hayuko smart" nae anajitetea jamani ndo ananiweka mjini huyu kamati tunakupitisha "basi sawa"

Ukiongea nae kwenye simu anatupa na sisi tukusalimie kisha tunakuuliza shem umempa nini rafiki yetu anakupenda hadi sio poa kabadilika hata kutoka na sisi hataki anataka kuwa na wewe tu muda wote shem darling. Unajichekeeeesha unatuma na ya kutolea mashemeji zako tuinjoi.
😂Tunapitia mengi sana kwenye mabunge yenu tukufu.
 
😂😂😂 eti kikoba, wanawake sisi jau sana.!!
Anaweza kumponda mpenzi wako halafu pembeni anamuwinda tafrani tupu.!!
Unakuta unamaindi zile huba anazopewa mjumbe mwenzio ila namna ya kujiingiza ni kumsagia kunguni ili jina likatwe kisha ukajiweke 😂 na hapo ndipo bunge linavunjwaga rasmi ukishastukiwa.
 
Ila hapa Duniani Kuna mambo yakushangaza lakini pia kujifunza.kama hili mtu akufate personal wewe ufanye public🫢🫢
 
Back
Top Bottom