Ukimtongoza mwanamke

Ukimtongoza mwanamke

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Ukimtongoza mwanamke akakwambia ngoja nikafikilie ujue anaenda kugombana na mpnz wake waachane akukubalie wewe🤭🤭🤭🤭🤭 ukiona kmy ujue bado wanagombana na mpnz wake usikate tamaa brother*



🤣[emoji1550][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Hahahaha sure kuna dem nimemtongoza akasema hanitaki cha kushangaza ananitumia SMS Mara anaumwa nahuku nimesha mpotezea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
demu akikwambia nakufikiria we andaa siku ya kula mzigo lbl uwe na nyota ya kunguni ahirishe kukufikiria
 
Back
Top Bottom