Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu msaada maana nishaharibu huku
Ni bahati mbaya tu imetokea
Mtakaotaka picha mnipumzishe kwanza
Ni bahati mbaya tu imetokea
Mtakaotaka picha mnipumzishe kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unatukatisha weka picha bhanaWakuu msaada maana nishaharibu huku
ni bahati mbaya tu imetokea
Mtakaotaka picha mnipumzishe kwanza
Nakazia😃Mbona unatukatisha weka picha bhana
Inawezekana katuma sms mfumo wa picha za JLW.Aziweke?Nakazia😃
sasa kama umekosea si unamwambia tu, tena ukute yeye ndo ana mambo ya kipuuzi kuliko hata wewe.Wakuu msaada maana nishaharibu huku
ni bahati mbaya tu imetokea
Mtakaotaka picha mnipumzishe kwanza
Shoda inakuja kama meseji yenyewe ni ya wale vijana wa kula tunda kimasihara,alafu mbele ya huyo aloyemtumia meseji anasomeka kama mtu wa Mungu.Kuna njia 2, mtumie msg nyingine kumtaka radhi kuwa haikuwa msg yake.
Au fululiza kutuma msg nyingine za ajabu halafu baada ya muda mtumie msg kwa namba nyingine kuwa umepoteza simu hivyo apuuze msg zozote toka namba yako mpaka utakapoirejesha mikononi mwako.
Hiyo msg ifanye kama vile umetuma kwa watu wengi ya kuwajulisha kuwa umepoteza simu.
Eee ndio tunataka kuziona😃Inawezekana katuma sms mfumo wa picha za JLW.Aziweke?
Atume sms ya sorry nimekosea kutuma ila ndio atakua ameshajua ujinga wake 😁!
Daah haya banaKuna njia 2, mtumie msg nyingine kumtaka radhi kuwa haikuwa msg yake.