Wapumzisheni wana dasalama.
Mambo ni mengi sana, uchague bata au kumtumia mtu hela.
Huku utasikia "huyu demu wake nani "
Kule "napenda shiisha"
Mara hujakaa sawa unasikia "bia tamu"
Kabla haijaisha unasikia weita leta kama tulivyo.
Ukitaka kupuuzia unasikia "kama umemchoka tuachie sisi"